ajali mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abou Shaymaa

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  2. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  3. Sildenafil Citrate

    Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

    Mpaka sasa taarifa zilizopo zinasema basi la Golden Deer T 618 DMG kutoka Kyela kuelekea Dar es Salaam imepata ajali. Taarifa zaidi zitakujia baadae. --- Morogoro. Mtu mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Kizito wilayani Mikumi na wengine wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi la...
  4. K

    Waziri aliyepata ajali mbaya Aibukia Mbeya akiwa mpya kabisa.

    Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na...
  5. JanguKamaJangu

    Kipa wa PSG apata ajali mbaya akiendesha farasi, awekwa chini ya uangalizi maalum

    Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko. Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...
  6. R

    Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele tunasubiri ajali mbaya itokee ndio hatua ichukuliwe?

    Habari wakuu, Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani. Kubwa zaidi...
  7. Melki Wamatukio

    Sintosahau siku hii niliyopata ajali mbaya na ya kutisha kitandani nikiwa nazagamuana

    Nilipoanza mahusiano naye tu, nilianza kuwa msumbufu kupita maelezo. Kuanzia day three nilianza kulilia mbususu kama vile ni yangu vile namdai. Ilifikia kipindi akaona dhamira yangu labda ni kumpiga paipu kisha nipite hivi, hata hayo mawazo yake hayakunibadili msimamo. Baada ya kuililia kwa...
Back
Top Bottom