ajali barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhakika Bro

    Usalama barabarani, vipi tukiweka camera black box na audio driving route recorder kwenye basi kama ndege

    Ikitokea ajali wanaangalia kamera za ndani na nje. Kamera ziwepo kama tatu. 1. Kuonesha mbele inapoenda 2. Kuonesha dereva anavyoact (hii irekodi na sauti - cockpit voice recorder 3. Iwe kwa abiria kiujumla kwa ajili ya usalama. Tumechoka kuambiwa tu, mwendokasi, sijui kona kali ndio sababu...
  2. Dalton elijah

    Miundombinu ya barabara za Afrika ni hatari zaidi Duniani

    Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani. Ajali hizo zinachochewa na uzembe, mwendo kasi, ulevi na miundombinu duni. Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO imetaja pia...
  3. Replica

    Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

    Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...
  4. Teslarati

    Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
  5. W

    Chanzo cha Ajali Mbeya kilisababishwa na Uzembe wa dereva kushindwa kumudu gari kwenye Mteremko

    Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
  6. milele amina

    Uchambuzi: Ripoti ya Ajali za Barabarani katika Mkoa wa Mbeya, RPC aondolewe haraka

    Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi. Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
  7. Pdidy

    Hizi ajali zinaisha lini kila taarifa ya habari vifo toka juzi mda huu chunya kimeita

    Yaani tulishazoea haya mambo Desemba muda wa kufunga mahesabu Lakini naona kama yameanza mapema jamani Mimi toka majuzi taarifa ya habari ni vifo na ajali tu Muda huu kuna ajali Chunya, tutawajuza
  8. Mkalukungone Mwamba

    Barabara ya Moro - Dodoma yafunguliwa Baada ya kufungwa kwa saa mbili na Wananchi wa mkundi akipinga ajali za mara kwa mara

    Barabara Kuu ya Morogoro-Dodoma ambayo mapema leo Septemba 5, 2024 ilifungwa na wananchi wa Mtaa wa Mkundi Sheli, Kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro, kwa takriban saa mbili wakipinga ajali za mara kwa mara zinazotokea katika eneo hilo imefunguliwa. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro...
  9. ChoiceVariable

    Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

    My Take Kila siku hapa Tanzania Kuna ajari inatokea inayoua watu na chanzo mara zote ni uzembe wa madereva. Swali,Je Serikali mumeshibdwa kuja na Sheria Kali za kuwadhibiti Hawa Madereva wanasababisha ajali Kwa uzembe? --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva Alfredy Baharia...
  10. Mwachiluwi

    Nimenusurika kupata ajali ya gari leo asubuhi

    Sielewi imetokeaje hii kitu ni mara ya pili hii kwenye parking ipo hivi. Nimetokaa zangu uko na gari ya watu premio toyota nimepaki vuzuri tu nimemaliza mambo yangu nataka kupeleka mzigo sehemu husika ile narudisha gari nyuma ghafla naona bampa la mbele limetona linabuluza chini, nakanyaga...
  11. Kangosha

    KERO TANROAD Lindi tunaomba mrekebishe mashimo makubwa yaliyopo kwenye barabara kuu

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama uharibifu wa gari. Baadhi ya mashimo yapo maeneo ya hatari sana. Unakuta kuna mteremko na lami...
  12. Ndagullachrles

    Polisi Kilimanjaro yaweka mkakati wa kupunguza ajali

    KILIMANJARO INAKWENDA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro,limeweka mkakati wa kupunguza ajali za barabarani ambazo licha ya kupoteza maisha ya watu na wengine kuachwa na ulemavu wa kudumu,zimekuwa chanzo cha kupoteza nguvu kazi na uharibifu wa mali. Mkakati huo...
  13. pmwasyoke

    Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 16 na kujeruhi wengine 18

    Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu. Inasemekana kuna vifo kadhaa. ----=========== Hii ajali imetokea leo mlima wa Simike Mbembela mkoani Mbeya na kuuwa watu 13 na kujeruhi watu 18, Chanzo cha ajali ni baada...
  14. M

    Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

    Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...
  15. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Habari wanajamii, Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu. Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa ni sehemu hatarishi Kila kukicha. Usipokuta ajali basi kuna gari limeharibika kitu kinachoweza...
  16. G

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: SGR kukuza uchumi wa nchi, kupunguza ajali barabarani iwapo bei za nauli zitazingatia vipato vya wananchi

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
  17. Mshana Jr

    Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

    Kuna taarifa ya ajali barabara ya Msata-Bagamoyo daladala Coaster imegongana na lori imeua watu wote. Tungoje taarifa zaidi. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu panapostahili. ====== Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya barabarani baada ya basi dogo la...
  18. fungi06

    Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi. Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
  19. R

    Watembea kwa miguu acheni kujivuta kwenye zebra madereva sio malaika, mengi yanaweza kwenda vibaya

    Wakuu, Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing). Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
  20. R

    Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele tunasubiri ajali mbaya itokee ndio hatua ichukuliwe?

    Habari wakuu, Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani. Kubwa zaidi...
Back
Top Bottom