ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  2. Think2

    Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

    Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa. 28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku. Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
  3. O

    Motorcade ya CS Aden Duale Yatajwa Katika Ajali ya Kisumu–Busia Highway: Witnesses Wanasema Ilihusika, Office Yakanusha

    Utata umeibuka baada ya ajali mbaya katika barabara ya Kisumu–Busia iliyosababisha vifo vya watu watatu. Mashahidi wa eneo la tukio wanadai kuwa motorcade ya Health CS Aden Duale iligonga tuktuk na kusababisha ajali hiyo mbaya. Hata hivyo, idara ya mawasiliano ya waziri huyo imekanusha madai...
  4. MamaSamia2025

    Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  5. mcTobby

    Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  6. JanguKamaJangu

    Clouds FM wajadili kuhusu ‘Traffic lights’ za Ubungo External KUZIMIKA usiku na kuwa chanzo cha ajali

    Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi. Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii...
  7. A

    DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  8. mirindimo

    Ajali za bodaboda kona ya Mazuu Mbezi, mwisho Tanroad, wekeni matuta pale

    Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie speed vyombo vya moto. Pia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa...
  9. Inside10

    Wanahabari wapata Ajali wakitoka kwenye sherehe ya CCM

    Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Kwa mujibu wa taarifa...
  10. JanguKamaJangu

    Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  11. Raia Fulani

    Kila January huwa napata ajali

    Hii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati tena ajali mwaka wote. Au kuanguka. Sasa mwaka ulivyoanza hii hali au kumbukumbu ikanijia. Na mara...
  12. DuaZaMama

    Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya , "Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏. Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na...
  13. lugoda12

    Polisi: Ajali ya Shilole hajaripotiwa kituo chochote cha polisi mkoani Kigoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok ikidai Msanii wa muziki Shilole kupata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa safarini akitokea Mkoa Kigoma akielekea Mkoa Dodoma ambayo gari aliyokuwa akitumia kwa safari aina ya...
  14. Msanii

    Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  15. figganigga

    Ajali Ajali yafunga barabara ya Boda ya Rusumo to Rwanda

    Ajali imetokea Rusumo upande wa Tanzania, hiyo gari ya inyarwanda ilikuwa imebeba magari leo 31|12|2025.
  16. Yoda

    Matajiri wausiwa kudai nchi bora kutokana na ajali ya Anthony Joshua

    Haijalishi una utajiri kiasi gani binafsi kama Mnigeria, sote kwa pamoja ni maskini. Maskini sana. Hili unalielewa tu wakati wa dharura. Moto unazuka lakini hakuna huduma ya zimamoto. Ajali inatokea lakini hakuna huduma ya kwanza, hakuna gari la wagonjwa, hakuna mfumo. Leo, bingwa wa ndondi wa...
  17. Kipenzi Changu

    Nimeota polisi wengi wamekufa kwenye ajali, mashuhuda wanashangilia!!

    Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile...
  18. B

    Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  19. tonicimmobility

    Ajali ya moto China: 128 wafariki dunia, 200 hawafahamiki walipo

    Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa bado hawajulikani walipo. Zaidi ya watu 79 wamejeruhiwa, na juhudi za uokoaji zinaendelea huku miili...
  20. funaku

    Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
Back
Top Bottom