ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua mtu akiyafanya ni haki yake kuuawa Bila kujali sheria za nchi au za dunia za wakati husika zinasemaje...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anapaka piko ili afafanue jambo... Ajabu sana!

    Kuna mtu kapaka piko ili kufafanua jambo, kosa ni kupaka piko au kufafanua?
  4. JamiiForums Tanzania Nimeokoa mamilioni ya pesa kwa kusoma Kitabu hiki cha ajabu!

    Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply yaliyoandikwa katika Kitabu hiki cha ajabu. Kitabu hiki ni Biblia. Kwanza kabisa, nimeokoa...
  5. JamiiForums Tanzania HESABU kitu cha ajabu

    Ulifanya ACSEE ukapita vizuri. Maths ukapata A😎 Kwa sababu wewe na hesabu mlikuwa kama mapacha waliozaliwa siku moja, ukaamua kuingia university uchukue Statistics, Pure Mathematics na kila course yenye namba ndani yake. 😂 Ukasema: “Mimi si fala bana. Dunia inahitaji kujua uwezo wangu.” 😂...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

    Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba? Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
  7. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuchapiwa sio kitu cha ajabu tena.

    Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao? Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama? Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi? Inamaana hajui kuwa jike...
  9. JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
  10. JamiiForums Tanzania Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa ya ajabu ajabu tu.

    Taifa limeharibika vibaya sana,viongozi wanajiona ni miungu watu,wanamiliki uhai wa kila mtu,rushwa inanuka kila ofisi na ALIYEJIPA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI KIHUNI NDIYE ANAHARARISHA,vyombo vya ulinzi na usalama havina utofauti na madada poa wa ubungo riverside. Hii yote ni kwa sababu mifumo...
  13. JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  14. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Udi wa Hassan gud na chumvi vina nguvu ya ajabu sana

    Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida
  16. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  17. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  18. JamiiForums Tanzania Platypus mnyama wa ajabu zaidi, duniani. Anataga, ananyonyesha na anaishi majini

    Platypus ni mnyama wa kipekee sana anayepatikana porini mashariki mwa Australia na kisiwa cha Tasmania. Platypus Ni mmoja wa mamalia wachache duniani wanaotaga mayai badala ya kuzaa watoto hai. Platypus ni wa kundi la mamalia linaloitwa monotremes, ambalo pia linajumuisha Short-beaked Echidna...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026. Polisi washafika eneo la tukio...
  20. O

    JamiiForums Tanzania KERO Router ya Voda imeandikwa 5G, panel yake inasoma 4G

    Router ya Voda imeandikwa 5G na niliichukua Vodashop. Lakini ajabu ni kwamba, panel yake inasoma 4G na spidi (Mbps) haifiki hata 25 kwa kifurushi cha Tsh. 110,000. Hii imekaaje? Yaani unanunua router kwa Tsh. 138,000 na kuweka kifurushi cha Tsh. 110,000 alafu hupati hata 5G Hiki kifurushi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…