airtel

Bharti Airtel Limited, also known as Airtel, is an Indian multinational telecommunications services company based in New Delhi, Delhi NCT. It operates in 18 countries across South Asia and Africa, and also in the Channel Islands. Airtel provides 2G, 4G LTE, 4G+ mobile services, fixed line broadband and voice services depending upon the country of operation. Airtel had also rolled out its VoLTE technology across all Indian telecom circles. It is the second largest mobile network operator in India and the Second largest mobile network operator in the world with over 457.96 million (45.796 crore) subscribers. Airtel was named India's 2nd most valuable brand in the first ever Brandz ranking by Millward Brown and WPP plc.Airtel is credited with pioneering the business strategy of outsourcing all of its business operations except marketing, sales and finance and building the 'minutes factory' model of low cost and high volumes. The strategy has since been adopted by several operators. Airtel's equipment is provided and maintained by Ericsson, Huawei, and Nokia Networks whereas IT support is provided by Amdocs. The transmission towers are maintained by subsidiaries and joint venture companies of Bharti including Bharti Infratel and Indus Towers in India. Ericsson agreed for the first time to be paid by the minute for installation and maintenance of their equipment rather than being paid up front, which allowed Airtel to provide low call rates of ₹1 (1.4¢ US)/minute.

View More On Wikipedia.org
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗱𝗶𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗲 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘂𝗹𝗶𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

    Nimeshangaa Sana Kampuni ya Airtel walichonifanyia aiseeh @airtel_tanzania Kuna watu wengi wanalalamika kuhusu kushindwa kufanya fidia juu ya kilichotokea Mwezi mmoja uliyopita. Toka oktoba 29 mwaka huu 2025 mitandao mingi ilifungwa kutokana na Changamoto iliyotokea kipindi cha Uchaguzi...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini Airtel hawafidii zile siku ambazo internet ilizimwa kwa watumiaji wa unlimited internet?

    Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa. Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Airtel ni Mtandao ambao umejaza wafanya kazi matapeli/wezi

    Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao. Airtel ukiingizia tu pesa kwenye mtandao wao unaanza kupokea simu za matapeli wakitaka kukutapeli wakijifanya wanapiga simu...
  4. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Airtel wanajaribu kuzima mtandao

    Leo Ni wiki Airtel mtandao haupatikani vzr kwenye internet Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Airtel simu ya mkopo "Wanataka kutapeli"

    Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya matengenezo huku akiendelea kulipa malipo ya siku...mwezi wa pili sasa yaani ana wiki 6 sasa...
  9. Ndikusyaganya

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
  10. excel

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waliyokopa simu za Airtel wapanga kuziflashi na sababu ni hii

    Wadau habarini? Kuna watu wasema wanamiliki simu za mikopo kutoka kampuni ya Airtel. Lakini kwa siku mbili zilizopita hawapati huduma. Wanalipa pesa lakini hawafunguliwi. Wakipiga simu kutaka kujua tatizo nini, simu zao zinakatwa. Sasa wanasema bora wakaziflashi tu ili waendelee kupata huduma...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala?

    Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala???
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Lead Channel Accountant at Airtel

    Why Airtel Africa? At Airtel Africa, we act with passion, energy, and a can-do attitude. Innovation with an entrepreneurial spirit drive us. If you like “ordinary”, then we are not for you. We champion diversity. We anticipate, adapt, and deliver solutions that enrich the lives of communities...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Airtel nafungua kesi mahakamani

    Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi tumechati vingi sana sms ya mwisho nikamwambia tukutane Kwa mangi apo saa Moja jioni , Mtandao ukaaza...
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Airtel 4G pocket Wi-fi

    Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
  17. kingphisher

    JamiiForums Tanzania AIRTEL 5G ROUTER

    Wakuu habarini za wakati huu, ninahitaji router ya Airtel, kuna nyingi nimeona zinauzwa 110,000. naomba mnijuze mambo yafuatayo. je, hiyo 110,000 ni bei ya router(device) au ni ya vifurushi? japo sina uhakika, nimesikia eti kuna hizo routers ambazo vifurushi vyake ni 70,000/= kwa mwezi...
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu mwezi wa pili sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu

    Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Airtel wanatulazimisha kununua Bando

    Kulikoni airtel TANZANIA , yani ukitumiwa kakitu tayari wao wana pop message kukulazimisha ununue bado , jambo hili halikubaliki
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
Back
Top Bottom