airport

An airport is an aerodrome with extended facilities, mostly for commercial air transport. Airports often have facilities to park and maintain aircraft, and a control tower. An airport consists of a landing area, which comprises an aerially accessible open space including at least one operationally active surface such as a runway for a plane to take off and to land or a helipad, and often includes adjacent utility buildings such as control towers, hangars and terminals. Larger airports may have airport aprons, taxiway bridges, air traffic control centres, passenger facilities such as restaurants and lounges, and emergency services. In some countries, the US in particular, airports also typically have one or more fixed-base operators, serving general aviation.
An airport solely serving helicopters is called a heliport. An airport for use by seaplanes and amphibious aircraft is called a seaplane base. Such a base typically includes a stretch of open water for takeoffs and landings, and seaplane docks for tying-up.
An international airport has additional facilities for customs and passport control as well as incorporating all the aforementioned elements. Such airports rank among the most complex and largest of all built typologies, with 15 of the top 50 buildings by floor area being airport terminals.

View More On Wikipedia.org
  1. Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  2. Mnyama Airport Kwenye Runway: Marubani Wapewa Tuzo

    Nimesoma habari hii: Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema itawazawadia tuzo maalumu Rubani Suhad Soud Kassim na Ofisa Daraja la kwanza, Alessandro Morgan kutokana na ujasiri walioonesha na kufanikiwa kuzuia kutokea ajali ya ndege. Marubani hao ni wa Shirika la Ndege (ATCL)...
  3. Airport Services Duty Officer at Qatar Airways

    About the role We are recruiting for an Airport Services Duty Officer based in Dar Es Salaam, Tanzania. In this role, you will supervise and control flight-handling activities such as flight editing, check-in, transfers and boarding, in order to ensure a high service standard. You will...
  4. Tanesco Halmashauri ya Mji Kibaha mnakera sana!

    Wadau kwema, Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8. Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8...
  5. Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  6. Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  7. N

    Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
  8. Lazaro Nyarandu na Bilionea kutoka Uingereza Katika Sakata Wilson Airport Nairobi

    Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
  9. Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

    Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700 Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar...
  10. CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash - ------------- Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...
  11. Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

    Kwa huzuni kubwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola kilioni 207 na kupelekea kutaifishwa uwanja wao wa ndege walioweka bondi. Iwanja wa Entebe sio mali ya Ugamda tena. Wachina wawetwaa uwanja wa ndege wa Uganda hii ni wazi watu weusi uwezo wetu ni mdogo sana. Walianza...
  12. Kutoka Chato airport

    Hizi ndizo shughuli tunazofanya hapa Chato airport, legacy kwa kwenda mbele!
  13. More cracks at Isiolo Airport

    Cracks appear on KSh 3.1B Isiolo Airport runway, govt. sets up probe team
  14. Customer Experience Senior Airport Services Agent - Zanzibar

    Customer Experience Senior Airport Services Agent - Zanzibar Tanzania - TZ Location Zanzibar - ZNZ, Tanzania - TZ Category Cargo & Airport Operations Job Id 2100009K About the role We are currently recruiting for Senior Airport Services Agent in Zanzibar, Tanzania The successful applicant...
  15. V

    Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  16. Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  17. Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro badilisheni kile kibao cha KILIMANJARO AIRPORT

    Kile kibao pale kipo miaka na miaka hadi sasa Kinataka kuanguka chini, hakina kabisa hadhi ya kuonyesha kweli hiki ni kibao kinachoelekeza uwanja wa ndege ulipo. Kibao kidogo mno utafikiri ni cha boda boda Jamanii kumbe kinaelekeza uwanja wa ndege tena wanaposhuka watalii na watu ma shughuli...
  18. A

    CV without CSEE certificate

    Mambo vp, Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar. Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lakini...
  19. M

    Nifanye nini mke wangu arudi?

    Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu. Sasa tatizo lilikuja vipi Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam. Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu...
  20. Waziri wa Afya upimaji wa COVID-19 Airport ni kero. Gharama sijui unafanya kazi gani?

    Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya kumaliza pilika pilika nikapima kule nje baada ya kufika Dar eti wanalazimisha kupima tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…