airport

An airport is an aerodrome with extended facilities, mostly for commercial air transport. Airports often have facilities to park and maintain aircraft, and a control tower. An airport consists of a landing area, which comprises an aerially accessible open space including at least one operationally active surface such as a runway for a plane to take off and to land or a helipad, and often includes adjacent utility buildings such as control towers, hangars and terminals. Larger airports may have airport aprons, taxiway bridges, air traffic control centres, passenger facilities such as restaurants and lounges, and emergency services. In some countries, the US in particular, airports also typically have one or more fixed-base operators, serving general aviation.
An airport solely serving helicopters is called a heliport. An airport for use by seaplanes and amphibious aircraft is called a seaplane base. Such a base typically includes a stretch of open water for takeoffs and landings, and seaplane docks for tying-up.
An international airport has additional facilities for customs and passport control as well as incorporating all the aforementioned elements. Such airports rank among the most complex and largest of all built typologies, with 15 of the top 50 buildings by floor area being airport terminals.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

    Inadaiwa marekebisho ya mfumo yamepelekea mizigo kukwama airport kwa wiki sasa na hakuna taarifa ya lini mfumo utakaa sawa.
  2. US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

    Wadau. Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385. Tuwe makini sana...
  3. Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  4. Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  5. Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  6. Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...
  7. Airport attendant

    Hellow, bila kupoteza muda Naomba kufahamu mshahara wa airport attendant kama JKNIA. kwa anajua
  8. Ni kweli Chato Airport watu wanaanikia Mpunga?

    Nikiri hupenda sana kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye operation 255 za CHADEMA zinazoendeleq mikoani... Si mara moja au mbili Lissu amesikika akisema Chato Airport haina ndege wakazi wake wanaanikia mpunga... Jana akiwa Katavi kasema stand ya mabasi chato watu wanaanikia mpunga... Je hizi...
  9. Airport simba wakaguliwe sana wasije kusafiri na kuni za kuwashia moto

    Naaam hili lizingatiwe kwa manufaaa ya Taifa tusije kutia aibu nyingine kwa kuwasha moto hovyo viwanjani.
  10. P

    Nimefika Geita na wilaya zake, Sijui Kwanini Hayati Magufuli hakujenga Airport Katoro badala ya Chato

    Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu. Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha. Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue...
  11. Transfer vacancy Tanzania airport authority

    Uchoyo sio mzuri. Kazi kwenu
  12. Mlioko nchini Mali mbona hamtupi Updates zenu za Mganga wenu Kuzuiliwa tena Airport kama kule Tunisia?

    Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali. Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
  13. Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

    Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe. Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
  14. Naomba hili lililojitokeza Uwanja wa Ndege wa Entebbe lisije likajitokeza JNIA

    Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa wanaelekea kupanda ndege hali inayosababisha wengine kuchelewa ndege na wengine kuchelewesha ndege kuanza...
  15. Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

    Wana JF Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
  16. Ndege yashindwa kutua Julius Nyerere International airport kutokana na hali ya hewa

    Hali ya hewa
  17. Kashfa ya vifaranga kufia Airport hadi sasa hakuna wa kuwajibika?

    KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii. Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
  18. Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo,Herzon Nonga akionesha Vifaranga vya kuku wa mayai vilivyozuiwa kuingia nchini,kutokuwa na vibali na cheti cha afya katika kago ya mizigo ya uwanja wa ndege wa Juliasi Nyerere,jijini Dar es Salaam jana. Kukamatwa kwa vifaranga vilivyokuwa vikiingizwa nchini...
  19. Vifaranga vya Ubelgiji vilivyokamatwa Airport Dar bado havijaondolewa

    Licha ya Serikali kuagiza vifaranga vya kuku 62,730 wa mayai vilivyoingizwa nchini virudishwe Ubelgiji, inadaiwa hadi sasa bado havijaondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Vifaranga hivyo vilivyoingizwa nchini Desemba 22 na kampuni ya Phoenix Farms Limited, vilizuiliwa...
  20. Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…