airport

An airport is an aerodrome with extended facilities, mostly for commercial air transport. Airports often have facilities to park and maintain aircraft, and a control tower. An airport consists of a landing area, which comprises an aerially accessible open space including at least one operationally active surface such as a runway for a plane to take off and to land or a helipad, and often includes adjacent utility buildings such as control towers, hangars and terminals. Larger airports may have airport aprons, taxiway bridges, air traffic control centres, passenger facilities such as restaurants and lounges, and emergency services. In some countries, the US in particular, airports also typically have one or more fixed-base operators, serving general aviation.
An airport solely serving helicopters is called a heliport. An airport for use by seaplanes and amphibious aircraft is called a seaplane base. Such a base typically includes a stretch of open water for takeoffs and landings, and seaplane docks for tying-up.
An international airport has additional facilities for customs and passport control as well as incorporating all the aforementioned elements. Such airports rank among the most complex and largest of all built typologies, with 15 of the top 50 buildings by floor area being airport terminals.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza ulisitishwa?

    Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu. Sisi wananchi wa kanda ya ziwa tunaomba majibu na ufafanuzi kabla ya oktoba. Mimi ni mwana CCM ninapata shida sana...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  3. appoh

    JamiiForums Tanzania Sitosahau nilivyoumbuka airport

    Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada Maana nilifika vizur had getin picha linaanza kinaitajika kitambulisho chochote niweze kuingia sikua nacho nikarudisha mara nikaambiwa niwahi...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98

    Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98 na kimekusudiwa kuanza kufanya kazi, ikiwa ni maendeleo muhimu katika miundombinu ya usafirishaji wa mkoa. Waziri wa Usafirishaji Prof. Makame Mbarawa alikagua na kutembelea kituo hicho, akionyesha kuridhishwa...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Askari waliovalia kombati za JWTZ waonekana airport Entebbe

    Page ya Instagram ya wananchiforum imeripoti kuonekana kwa Askari jeshi , waliovalia kombati za JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe , Uganda.
  6. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hapo Airport pananipa mashaka, Maadui wanatoroka

    Ukiingia kwenye website ya flightradar, kulionekana ndege yetu , mali ya wananchi (air Tanzania) imeruka mapema asubuhi, lakini hivi sasa Kuna nyingine iko scheduled kuruka saa nane mchana.. MAADUI WANATOROKA kupitia airport, yawezekana jeshi limewaruhusu watoroke!!.. AIRPORT PASALIMIWE
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu huwa wanatakiwa kuvua viatu kwenye scanners za ukaguzi Airport?

    Kwa watu wanaofahamu masuala ya usalama, Kwa nini watu hutakiwa kuvua viatu kwenye scanners za viwanja vya ndege wakati wa ukaguzi wa kuingia ndani ?
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kigoma Airport yang'ara duniani

    Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum. KIGOMA HATUNA DENI
  10. K

    JamiiForums Tanzania Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?

    Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?
  11. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania KERO Airpor Terminal 2 kunatoa harufu. Serikali ishughulikie

    Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata nafasi kufikiria na Kwa experience ya safari zake alikiri ni kweli. Anyways, KIla mwezi hua natembelea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Madereva bodaboda wa mtandaoni walia kuzuiwa kuingia airport ya Dar es salaam

    Maafisa usafiri almaarufu madereva wa bodaboda mtandaoni walia kuwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege jijini Dar es Salaam una eneo kubwa hivyo nao waruhusiwe kuingia. https://m.youtube.com/watch?v=3H3igt7-owI Bodaboda wasema kama teksi maalum zinaruhusiwa kuingia, kwanini wao bodaboda wabaguliwe...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kama Ilivyo, Hakuna Uhuru Usio na Mipaka, Watawala Pia Wajue Hakuna Mamlaka Yasiyo Na Mipaka. Kilichofanyika Airport, ni Ushenzi

    Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

    Uwanja wa Ndege Julius Nyerere Intl Airport Dar es Salaam CHADEMA YAPATA BALOZI Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo...
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hata siku 1 usimsaidie mtu kubeba mzigo Airport, wema utakuponza

    Hata akiwa mzee vipi muache abebe peke yake... Airport sio eneo la bahati mbaya
  18. S

    JamiiForums Tanzania Airport attendant II

    Jaman aliechaguliwa kwenye interview ya airport attendant II join kwenye group AIRPORT ATTENDANT II INTERVIEW tupeane maswali ya interview
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
Back
Top Bottom