aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kasoro: Tuzo za BMT aina Muziki unaopigwa hauendani na Waliohudhuria

    Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...
  2. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
  3. RedPill Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume

    Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula ujana, wakimaliza na kujiona wamechelewa kuolewa, wataanza kuingia makanisani ama misikitini wakiomba...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele

    Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi. 1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake. 2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
  6. Vhagar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unashughulika vipi na watu wa aina hii....

    Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo mada inabadilika inaonekana ww una roho mbaya. Husaidiagi watu yaani inasahaulika kabisa kwamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Taja aina ya muziki usioupenda

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni kila kitu. Hakuna binadamu aliyekamilika asiyependa kusikiliza au kucheza muziki. Pamoja upenzi wa...
  9. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

    Kuna mila na imani nyingi saana potofu. Niliishi kwa wajita huko kijiji fulani karibu na kibara. Kuna siku nyoka mkubwa aina ya kifutu alionekana cha kushangaza badala ya watu kuanza kumshambulia walianza kukimbia kila mtu kutafuta njia yake. Baadae wakaja na mfuko eti wanambembeleza aingie...
  10. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  11. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Papo kwa papo. Aina ya utatuzi ina wababe wake

    Nipo nafatilia ziara ya Mkuu wa mkoa Arusha. Hii style ya kusikiliza kero majembe mengine ni Ali Hapi, Sabaya na Kasim Majaliwa. Aisee hawa jamaa wanaziweza.mtu mwingine kama huna kismati cha uongozi usijaribu. Naenjoy Arusha now ziara
  12. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za wake (Type of wives)

    Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana na waume zao kwa makusudi ili tu kumtia hasira. Wanawake wa aina hii wako tayari kupigana na mume...
  13. samuelmwakasungula

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Prado

    Kwa mtu ye yote ambaye atakuwa anauza gari aina ya prado liwe na hari nzuri, bajeti yangu M13 namba yangu 0673505972
  14. mr pipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

    Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nauza Saa aina tofauti

    Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na...
  17. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

    Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi. Yaani...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa kukutwa na bunduki aina ya Shotgun Pump Action bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Bwiga (33) mkazi wa Ifumbo na Isaya Zumba (38) mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shotgun Pump Action bila kibali. Akizungumza na waandishi wa habari Mei 15, 2024 Kamanda wa Polisi...
  19. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda sana majirani wa aina hii

    Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa. Hawa...
  20. FPN

    JamiiForums Tanzania Kuna aina 4 za kiwango Cha akili i.e Intelligent Quotient(IQ)

    1) Intelligent Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4) Adversity Quotient (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kukokotoa hesabu, kukariri mambo, na kukumbuka masomo. Example 220÷2=110...
Back
Top Bottom