aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  2. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni wajibu wa Serikali kulinda aina na Quality ya vyakula vyetu

    Kibiashara ina make sense. Ingawa quality ya vyakula vyetu inakuwa compromised. Ebu tujaribu kudescribe baadhi ya matunda yetu kwa sasa, kwa kuanzia tu : 1) Nanasi: Ili la kisasa ni kubwa balaa kama mpira, ila ukilikata unakutana na maji tupu, ule utamu wa nanasi umepotea kabisa, hakuna sukali...
  4. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania. Nataka kujua hivi hizi surgery...
  5. tamsana

    JamiiForums Tanzania Tangu jana nashindwa kupakua kwenye WhatsApp file aina ya word, pdf na excel

    Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube na google bila mafanikio. Hatua ya mwisho kabisa nime reinstall app lakini bado changamoto iko pale...
  6. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akishafanya starehe za kila aina na akachezewa na kuzalishwa ndipo atatulia na kusubiri 'Mr Nice Guy' uje umuoe au umuweke ndani

    Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe. Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk, Hapohapo kuna wale wa mitaani ambao wakiwa bado wabichi wanaringa sababu wanataka kuonja onja pesa za wanaume wengi. Sasa hawa...
  7. KikulachoChako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za udanganyifu kwa wapendanao au wanandoa

    1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi (financial cheating). Ukiona mwenza anafichwa kipato na matumizi ujue kaanza udanganyifu. Mara nyingi...
  8. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania EUROTUNNEL: Barabara chini ya maji iliyowaunganisha Wataalamu wa Jiolojia na Wahandisi wa kila aina

    Eurotunnel, ambayo pia inajulikana kama Channel Tunnel, ni mfereji wa reli chini ya Bahari ya Kiingereza ambao unaunganisha Uingereza na Ufaransa. Hii ni miundo mikubwa ya uhandisi iliyopo ulimwenguni. Ujenzi wa Eurotunnel ulianza rasmi mwaka 1988 na ulikamilika mnamo mwaka 1994.Tunnel hii...
  9. Cainan

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Mashine za aina zote katika miradi midogo na mikubwa

    Habarini wakuu, Nimeamua kuandaa uzi collective kwa ajili ya mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika shughuli mbalimbali hapa nchini. Nitakuwa natoa maelezo ya machine pamoja na picha (muonekano) na bei yake Post ntazipanga katika sytematic order ambayo itawezesha mtu kupata picha ua...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
  11. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Nini shida magari aina ya "Brevis" mengi kuharibika gear box?

    Inaonekana muundo wa gearbox kwa magari ya "brevis" ni dhaifu sana kwasababu magari karibu yoote used utakuta kipengere ni gearbox! Wajuzi tupe elimu!
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  13. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa dawa aina ya amitriptyline

    Habari wana JF! Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nauliza kwani madhara ya pombe aina ya spirit yanatofautina kutegemea na aina ya pombe?

    Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida. Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
  15. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Tambua aina Jiolojia ambayo wengi kwa Tanzania inafanana na Congo, Amazon na nk

    Katika jiolojia tanzania ni sehemu moja wapo wenye eneo mozambique belt. Nini maana ya jina ilo kijiolojia "Mozambique Belt" ni jina linalotumiwa kuelezea eneo la bara la Afrika ambalo lina muunganiko wa miamba ya zamani na miamba ya metamorphic. Inapita kupitia nchi za Afrika Mashariki kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
  17. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi wa aina mpya za Dawa za Kulevya daily ni anguko kuu kwa Vijana

    Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush' Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ijue dawa aina ya methylenedioxy pyrovalerone (MDPV)

    Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imekamata dawa aina ya MDPV , je dawa Ina madhara/hatari zipi kwa mtumiaji? IFAHAMU KWANZA, MDPV ni dawa ambayo Iko kwenye kundi la dawa zinazoitwa ' stimulants ' ,mfano wa dawa ambazo ziko kwenye kundi hili ni mirungi ( cathinone)...
  20. proton pump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
Back
Top Bottom