aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ni gemstones aina gani na je yanathamani?

    Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
  3. JamiiForums Tanzania Vifaa vya kuona usiku vya kizazi cha tatu vya Marekani aina ya ENVG-B vinatumika na vikosi maalum vya Ukraine

    "AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natengeneza projects za aina yoyote bure njoo na idea yako tuu hakikisha ni nzuri na yenye kunufaisha. Soma maelekezo kwa kuelewa

    Wakuu mko salama Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza... Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
  5. JamiiForums Tanzania Kwa aina ya uwekezaji unaofanyika bado Afrika itaendelea kuwa maskini

    Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea kwenye makazi ya watu. Ni janga la asili. Wakati uchunguzi ukiendelea ndo wamejitokeza baadhi ya...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naombeni ufafanuzi

    Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa vp huu unafaa ili niagize?
  7. JamiiForums Tanzania Kweme ni matunda ya aina gani?

    Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

    Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  10. JamiiForums Tanzania CCM kwanini mmeiharamisha pombe aina ya Gongo?

    Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!! Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi? Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani...
  11. JamiiForums Tanzania Mama Erick Kabendera ni aina ya wamama adimu sana, wanawake wenye maono makubwa

    Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na maktaba kubwa ambapo walikuwa wanasoma vitabu vingi sana pamoja na mama yake. Kabendera anasema hata...
  12. JamiiForums Tanzania Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

    Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?

    Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana. Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  17. JamiiForums Tanzania Jumbo aina ya Kware wa Nyama, tusha maliza Breeding tumeanza mass productions

    Niliwahi toaga humu post ya Kware wa Nyama, wagu walikuja juu mno. Jumbo. Nyama ya kware Jumbo. Hawa ni special oda tunawazalishia wateja wasio pungua 4 tu. Hawa ni special kwa nyama tu, ingawa pia wanataga.
  18. JamiiForums Tanzania Aina za marafiki unaoweza kukuta nao katika mizunguko ya maisha. Je umeshawahi kukutana marafiki wa aina gani baadae ukaamua kuachana nao?

    Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v 1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka. 2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande. 3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wajinga wa aina 2 wanaoiumiza nchi

    Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili: Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga. Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha Mwenyezi Mungu na kuwafanya kujihisi kuwa na kauungu ndani yao. Tusichoke kutoa elimu ili tulinusuru...
  20. JamiiForums Tanzania Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.

    Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…