aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea! 1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki). 2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara. 3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms...
  2. IGP Wambura wasikilize Zembwela na Kitenge, Taifa litaepuka aibu

    IJP Camillus Mongoso Wambura ni Mkuu wa Jeshi la polisi, Jeshi ambalo uwepo wake ni kuhakikisha kuwa raia wanakuwa salama muda wote. Lakini Jeshi la polisi ( si tu wakati yeye akiwa IJP) linapokuja suala la jinsi ya kusimamia mambo ya siasa, hasa haki za vyama vingine mbali ya CCM, Jeshi la...
  3. UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  4. PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  5. M

    Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  6. M

    PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
  7. Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

    Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend 1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
  8. S

    Tellers' kwenye benki zetu wanatuibia pesa zetu bila aibu

    Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m. Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee...
  9. Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

    Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi Je nitafanyaje...
  10. Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

    Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants Marumo gallants 1 - 2 Young africans Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika. Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
  11. Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  12. Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na...
  13. R

    KERO Ni aibu kwa mji wa Himo toka Halmashauri ya Moshi kukosa Taa barabarani, ili hali wananchi wanalipa kodi

    Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili). Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
  14. Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

    Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
  15. PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

    Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM. Hivi CCM ambaye...
  16. M

    Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  17. Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  18. Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  19. Kila nikikumbuka aibu niliyoipata sitamani tena hata kuonana na yule binti

    Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana. Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
  20. NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…