aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Aibu kwa nchi

    Shirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12 Hii ni aibu kwa Taifa letu
  2. Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

    Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre...
  3. Harmonize ku"fake"idadi ya viewers ya wimbo wake mpya Teacher

  4. Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  5. Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  6. Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  7. Mzee Jakaya Kikwete na CCM hamuoni aibu kwenda Zambia? Zanzibar 2015 mlifanya nini?

    Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
  8. Q

    Ni aibu kwa CCM kujipeleka Zambia bila kualikwa

    Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe. Ni aibu kwa...
  9. Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

    ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya: 1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima 2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili. 3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege...
  10. Simba yatia aibu usajili wa Yusufu Mhilu, inategemea tena TFF iibebe kama kwa Morrison

    Simba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini?
  11. N

    Nawashauri Kagera Sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka

    Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80? huyo kijana sasa kakosa kibali hachezi champions league na mvutano unaenda kuwa mkubwa bila sababu za msingi Upumbavu tu, nawashauri...
  12. Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  13. Askari wa Kituo cha Polisi Mabwepande wadaiwa kuwapora vijana wa bodaboda pesa

    Nilichokiona jana na leo hapa Boko Magengeni ni aibu kabisa. Askari walikuja na defender wakashuka na kuwavamia vijana waliopaki pikipiki zao za biashara. Mara tukasikia wanauliza “we una sh. ngapi??” Abiria wote tuliokuwa pale tulishangaa. Yaani inashangaza, hadi buku 3 askari anachukua. Kama...
  14. SADC imetia aibu Msumbiji

    Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka. Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa...
  15. Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...
  16. Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

    Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
  17. W

    Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

    Ndugu zangu, Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda". Leo Rais Samia Hassan akijibu hoja hizi za "Katiba mpya" na Mikutano ya vyama vya siasa" kasema "nipeni muda nisimamie uchumi wa...
  18. Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  19. AIBU ya Mwaka: Wanafunzi 400 wanakaa chini

    What a shame? Majivuno, kuringa, kujikweza, kujiona wao ndio wao, kumbe kuna Malaika wasio na hatia wanakaa chini! Mnatoza tozo mjenge Barbara na watoto wetu wakae chini? Hivi tuna akili kweli sisi? Yaani ununue ndege kwa pesa cash na huku Wanao wanashinda darsani wakiwa wamekaaa chini? Tuna...
  20. CCM imekuwa ikiliea wanasiasa magaidi! Hii ni aibu

    Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi. My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…