Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI).
Ukienda Halmashauri na Mikoani...
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu...
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Today early in the morning I visited Ocean Rd kiukweli Hapa Duniani Afya ndo kila kitu.
And Everything is about God's Grace
Inaumiza sana kuona namna watu wanavyopambania Afya kwa Mateso makubwa.
Kama u hai na Mzima ni Jambo la kushukuru maana hapa Duniani twapita tu. Nothing lasts.
Afya...
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi
Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania?
Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni
Kushiriki...
Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
Hello!
Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya.
Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja.
Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali) inayopuliziwa kwenye majani, si kuunga ardhini.
Matokeo yake ekari moja unayopata gunia 5 au 10 za...
Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini.
-
Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani.
Janga la COVID-19 linaendelea kuwa moja ya vipaumbele vya mkutano wa mwaka huu wa WHA ambao ni wa...
Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania.
Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla sikuyajua kwa kina. Nimegundua mambo haya:
1. Mtu ili kuanzisha na kuendesha biashara ya duka la dawa...
Leo kwa kweli nimeichukia sana Wizara ya Afya. Leo asubuhi nilimpeleka mgonjwa wangu ambaye alikuwa amevimba mguu ili apate matibabu katika KITUO CHA AFYA CHA UTEGI -WILAYA YA RORYA, Mkoa wa Mara.
Kwanza tuliambiwa kulipa Bima ya Afya ya papo kwa papo ya Tshs.5,000(elfu tano). Alipomaliza...
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.
Karibuni Sana
Mungu awabariki note.
Kikupe mrejesho kidogo kwa kikao MELSAT cha mwisho kilichofanyikia MUHAS kati ya mambo tuliokubaliana na yakachukuliwa na mwanasheria kuyafanyia citation ili yapelekwe kwa wahusika yaanze kutumika rasmi ni kama ifuatavyo
1. Mkuu wa maabara au msimamizi wa department anatakiwa awe na basic...
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)
Salaam Mhe Waziri!
Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
MAJIBU KWA MTU ANAYEJIITA JOSHUA GUYAHAMBI ANAVYOPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA KUHUSU ADDO NA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA NCHINI
Na Prof Patrick Kobono (MD, MMED, MPH, MBA, PhD in Human Anatomy)
Wasalaam!
Kwa kawaida hua sipendi kabisa kujibishana na wajinga wachache wanaopotosha umma ima kwa...