Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake.
Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
Habari wadau.
Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania..
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na WB na kinukiliwa na gazeti la daily news,mkopo huo Ni kwa ajili ya...
Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata haki. Fedha ya consultation na kuendesha kesi tayari tunayo .
Tunaomba kusadiwa wawasiliano ya...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Mdau kwenye mtandao wa Twitter ametoa hoja yake kuhusu bima na kuwatag Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Viongozi wa Taasisi ya NHIF na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima.
Ameandika: “Kilio cha Wazazi wengi kwa Sasa ni Swala la Ku Apply Bima ya...
Habarini,
Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika.
Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote'
Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta muhimu zinazomlenga direct mwananchi na sekta ya afya aliipa kipaumbele, Serikali ilitenga bajeti katika sekta ya afya shilingi Trillion 1.1 ili kukamilisha mahitaji yote yanayotakiwa katika sekta hiyo ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba, ujenzi wa vituo...
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu.
Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa.
Nami...
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini...
Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa.
Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
IKUNGI-SINGIDA
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu.
Muswada huo ulitegemewa...
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.