afya

  1. JamiiForums Tanzania Chumvi iliyozidi kwenye chakula ni hatari kwa afya, wapishi tuwe makini

    Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza ikiwa imepungua au kuchovya chumvi wakati wa kula kama maembe mabichi nk. Mzunguko wa maji mwilini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  3. JamiiForums Tanzania Ngozi ya jicho inaungua, napenda kujua tatizo ni nini?

    Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi, unatumia njia ngani kumrekebisha Mtoto bila kuathiri Afya yake ya Akili?

    Mzazi ana Jukumu muhimu sana katika Kumlea na Kumkuza Binadamu bora wa kizazi cha baadaye. Kupitia Malezi hayo, Mzazi anapaswa kumsaidia Mtoto Kukua na kuwa mwenye Afya Njema, Furaha na Anayejiamini. Tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Watu wazima waliopitia Unyanyasaji wa aina yoyote katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ajikata uume wake na kuutupa. Akipona jeraha lake atafikishwa Mahakamani kujibu shtaka linalomkabili

    Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua. Kamanda wa polisi mkoa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna baa za members only?

    Naomba kuuliza. Hivi Dar kuna baa ambazo wanaruhusiwa kuingia wanachama wa baa hiyo tu?
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Mabadiliko ya Uwajibikaji katika Nyanja ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi vikundi ni hatari sana kwa afya

    Marekani watu huwa hawali vikundu vya kuku. Sasa makampuni ya nyama za kuku yakaonelea kuwa kuvitupa ni hasara kubwa. Yakatafuta soko. Yakapata soko huko visiwa vya Samoa. Kwa miaka na miaka Samoa ikawa ndiyo wateja wakubwa wa vikundu kutoka Marekani. Hivi vikundu vinakafuta mengi kupita kiasi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Badala wanasiasa wawaze kuongeza miundombinu ya Afya na elimu wanawaza kugawana majimbo; shame

    Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa. Alichofanya Gambo na Tulia nikuonyesha kile wanachofikia walafi WA madaraka kwenye majimbo yenye...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

    Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo. Kuathiri kujiamini...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwe na Wahasibu Maalumu katika Sekta ya Afya

    UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa siku 60 kwa Waajiri kulipa malimbikizo ya Bima ya Afya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia madai ya Bima ya Afya na tatizo la waajiri kutowasilisha michango ya Wafanyakazi. Akizungumza kuhusu Bima ya Afya Rais Samia amemuagiza Waziri Mkuu Majaliwa kusimamia madai ya watoa huduma yanayopaswa kulipwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

    Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya. Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa. Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

    Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo. Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe. Sheria ina Uamuzi mkubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kwanini inakinzana na Masuala Ya Dini/Mwongozo wa Mwanadamu

    Wizara ya Afya jaribu kujitafakari... tumeletwa Duniani ili tuijaze Dunia, haya masuala ya uzazi wa Mpango unatoka wapi? Kila siku wanawake wanalalamika wanaume hawana mbegu za kiume kumbe wanawake nao wako na matatizo yao kuhusu haya mavidoge mara sindano. Mwanamke anameza vidoge ili...
  20. JamiiForums Tanzania Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

    Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check. Swali langu kwa wadau wa afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…