afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Umuhimu wa Wataalam wa Afya ya Akili katika jamii

    Utangulizi Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua umuhimu wa mimi kuwa timamu. Ila nasikitika kuona taifa lililo na watu zaidi ya millioni sitini (60)...
  2. C

    SoC02 Tanzania na changamoto za afya ya akili

    TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI Utangulizi Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema, lakini kuna wakati miili yetu hupata magonjwa mbalimbali na hivyo kuhitaji tiba ili kurudi kwenye hali au...
  3. SoC02 Mimi na Afya ya Akili

    Afya ya Akili. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya kutambua na kuthamini afya ya hisia na mwili kwa ujumla ambavyo vinahusisha ubongo. Afya ya akili katika karne ya 21 imekuwa ni tatizo kubwa kwa jamii zetu hasa kwa upande wa vijana ambao ndio inaaminika kuwa...
  4. SoC02 Yajue magonjwa ya afya ya akili katika kupata hisia

    Paraphilias Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto Aina za paraphilias. 1 fetishistic Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
  5. I

    SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  6. Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  7. SoC02 Ugonjwa wa Afya ya Akili upo

    Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
  8. VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  9. SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
  10. Utafiti: Nyumba za kupanga zinavyoharibu akili

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  11. Mei: Mwezi wa Uelewa wa Afya ya Akili (Mental Health Awareness Month). Matatizo yanatibika!

    Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo Afya ya Mwili Matatizo ya Afya Ya Akili yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja zote za maisha...
  12. P

    Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  13. Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  14. Teknolojia na Afya ya Akili: Kwanini matumizi yaliyopitiliza huweza kuwa na athari mbaya

    Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara. Mitandao ya Kijamii ni mojawapo ya njia kuu ambazo Intaneti huathiri Afya ya Akili. Hii hutokea...
  15. Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  16. Dalili zinazoashiria magonjwa ya Afya ya Akili

    Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za haraka haraka hata kufikia kupiga wengine. Kuwa na msongo wa mawazo. Kujitenga na watu na kupenda kukaa...
  17. Ugumu wa Maisha husababisha Wanaume kuugua kwa wingi matatizo ya Afya ya Akili kuliko Mwanamke

    Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake. Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
  18. Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  19. J

    Afya ya akili yako ni muhimu katika kupambana na COVID-19

    AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus. Inaelezwa kuwa athari za janga la Corona linaweza kuzalisha hisia za wasiwasi, woga na msongo wa mawazo...
  20. Matatizo ya Afya ya Akili sio Ukichaa

    Nimeona kuna hajanya watu kuelewa vizuri ili suala la afya ya akili ambalo watu wengi wamekuwa wakidhani matatizo ya afya ya akili ni ukichaa. Matatizo ya Afya ya Akili inaweza kuwa Phobias za Aina zote, Depressions, Stresses nk ambapo sio lazima uwe ukichaa Nimeshangazwa na mtu mzito kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…