afrika

  1. JamiiForums Tanzania WHO: Vifo Barani Afrika kushuka kwa 94%

    Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku, tofauti Vifo 970 kwa siku mwaka jana. Zaidi ya Maambukizi Milioni 11.8 na vifo takriban 250,000...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya diaspora ya China inaweza kuzifaa nchi za Afrika wakati inahitaji watu wenye ujuzi

    Tangu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka jana, moja katika ya mambo ambayo amekuwa akiyasisitiza mara kwa mara ni kutaka diaspora ya watanzania kujitokeza kuchangia maendeleo ya Tanzania. Mara ya kwanza alitoa kauli hiyo alipokuwa nchini Kenya wakati...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) na China wahimiza maendeleo ya miundombinu barani Afrika

    Fadhili Mpunji Mwishoni mwa mwezi Mei, Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) iliitisha mkutano wake wa mwaka mjini Accra, Ghana kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya benki hiyo, na mchango wake katika kuisaidia Afrika kukabiliana na changamoto mbalimbali. Kauli mbiu ya mkutano wa safari hii...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  6. JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Viongozi wa Afrika kupiga Simu katika Matamasha na Kupongezwa ndiyo Ishara ya Uongozi wao Bora?

    Ukiona Kiongozi wa Afrika unasifiwa sana na Wewe ukakubali Kusifiwa na Ukakenua Mimeno yako jua Umesanifiwa na Umedharaulika mno.
  8. L

    JamiiForums Tanzania AfDB yapanga kuimarisha miundombinu ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuendeleza ujenzi wa miundombinu kama mojawapo ya njia mwafaka za kukuza uchumi katika bara la Afrika.
  9. JamiiForums Tanzania Wydad AC waipiga Al Ahly 2-0 watwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2021/2022

    Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly. Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa ya Nchi zetu na Bara la Afrika yanatokana na 'software za ubongo na sio hardware'. Yaani tatizo ni 'minds'

    Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa. Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi. Tatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana mtangazaji wa RFA, Mtani Wambura kwa kuongelea ukabila na udini

    Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini: Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

    Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae. Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tunisia yaandaa kongamano la uchumi kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika

    Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika. Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
  15. JamiiForums Tanzania Mei 25: Maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day)

    Siku hii huadhimishwa kila Mei 25 ikiwa ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU) Mei 25, 1963 ambayo baadaye ilibadilishwa kuwa Umoja wa Afrika (AU) Maadhimisho yanabeba Kaulimbiu "Kuimarisha Ustahimilivu katika Lishe na Usalama wa Chakula Barani Afrika". Umoja wa Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 5 za Afrika zenye mifumo bora zaidi ya elimu

    Elimu ndiyo silaha yenye nguvu zaidi ambayo unaweza kuitumia kubadilisha ulimwengu, wakati huo huo inasaidia watu kuwa raia bora, kupata kazi yenye malipo bora na kuonesha tofauti kati ya mema na mabaya. Hizi ni Nchi 5 zenye mifumo bora zaidi ya elimu Afrika kwa mujibu wa NewsNowGh 1...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa UM asema mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaharibu utendaji wa uchumi wa Afrika

    Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika. Bw. Badawi amesema, mgogoro huo umesababisha ongezeko kubwa la gharama ya bidhaa za msingi barani humo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Siasa za Afrika na maajabu ya Martha Karua

    Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga. 1. Ni mwanasheria kitaaluma. 2. Waziri wa muda mrefu ILA 3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI. 4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA. YAJAYO YANAFURAHISHA.
  19. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

    Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu. Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
  20. JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…