Maarko
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,189
- 602
Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini:
Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni mkubwa Sana Sana hapa Nchini.
Taifa letu tumekua wamoja siyo kwa kuzaliwa tu Bali waasisi wa Nchi hii walifanya kazi kubwa Sana Sana kuondoa UKABILA na kujenga umoja wa KITAIFA..
HONGERA SANA MTANGAZAJI MTANI WAMBURA .