Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya watu weupe na sehemu ya watu weusi. Katika nchi hii ambayo siku zote inadai kutetea haki na usawa...
Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022
Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos...
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini
Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake
Jamhuri ya...
Zaidi ya watoto milioni 10 ni miongoni mwa wale wanaokabiliwa na ukame mkali katika Pembe ya Afrika.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef, linakadiria kuwa idadi hii ni milioni tatu zaidi ya ilivyokuwa miezi miwili iliyopita.
Mkurugenzi Mtendaji wa Unicef Catherine Russell...
Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia wanaovalia sare wanarekodi data iliyorejeshwa na satilaiti ya kwanza ya Ethiopia ETRSS. Satelaiti hiyo...
The population of Kenya’s dollar millionaires in the study is significantly higher than estimates in other reports, indicating the difficulty of tracking the wealthy in Africa.
The latest Knight Frank Wealth Report put the number of Kenya dollar millionaires at 3,323.
South Africa has the...
Kushinda ubingwa wa Afrika au kuwa na matokeo mazuri mfululizo kwenye mashindano ya CAF Champions League au Confederation Cup ni jambo linalohitaji muda.
Simba wanaweza kuiangalia TP Mazembe kama timu ya mfano kwao, vilevile naamini hata Mo role model wake ni Moise Katumbi kwa namna ambavyo...
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa.
Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi.
Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi.
Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila...
1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo.
2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa.
**Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
Leo francophone kote Ni full shangwe
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu .
Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake.
Asanteni
Orodha hii ni kwa hisani ya SDG7: Ripoti ya Maendeleo ya Nishati. Chanzo chake ni cha kimataifa kilichojitolea kufuatilia maendeleo ya upatikanaji wa nishati kote Afrika na kwingineko, kama sehemu ya shabaha za Lengo la 7 la Maendeleo Endelevu (SDG7).
Ni mpango shirikishi wa Wakala wa...
' tusipoziba ufa tutajenga ukuta'
binadamu aliumbwa pekee kwa udongo uliofinyangwa na baadae ubavuni mwake alitolewa mwenza kwa ajili ya kuijaza dunia,nimenukuu maneno machache kutoka vitabu vya dini lengo ni kuonyesha asili ya neno binadamu na sifa zake kuwa ni kiumbe dhaifu na humtegemea...
ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi.
Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu.
Huenda tusijue...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba katika mchezo wa raundi ya pili robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kuwa watakuwa salama.
Waziri Mchengerwa...
The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech.
Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.