afrika

  1. Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  2. Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani. Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine...
  3. Mataifa mengi ya Afrika hayajaweka Mikakati thabiti ya Usalama wa Mitandao jambo linalowafanya wawe kwenye hatari ya kushambuliwa

    Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
  4. Tatizo la Biashara haramu ya binadamu na Viungo vyake kwa Tanzania na Afrika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu. Kundi hili la...
  5. J

    Russia VS the West: Msimu mpya kwa Afrika

    Huu ni mtazamo huru nasita kuuita unabii maana neno hilo lina maana kubwa zaidi. Kwa wakati huu, vita kubwa kama hii inavyoendelea kutanuka na kubadili mitazamo ya kimataifa ya kimahusiano, kiuchumi, kisera na kiulinzi; tutegemee mabadiliko makubwa ya kiulimwengu hata iwapo vita hii MUNGU...
  6. Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika katika nchi zao unaelezwa kuongezeka siku hadi siku

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika unaelezwa kuongezeka siku hadi siku African Migration Trends to Watch in 2022 – Africa Center for Strategic Studies wanaeleza kuwa Idadi ya Uhamaji wa Waafrika ndani na Nje ya Afrika inaelezwa kuongezea karibu mara mbili zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2010, na...
  7. Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
  8. L

    Mkutano wa Bunge la umma la China Una umuhimu kwa Afrika

    Na Tom Wanjala Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la China ulioanza tarehe tano mwezi Machi na kumalizika tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu, ulifuatiliwa kwa...
  9. Waziri: Mazungumzo ya ndani yanaendelea Tanzania kurejea Mahakama ya Afrika

    Wadau kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na Waziri George Simbaachawene ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi. Msafara huo wa THRDC uliongozwa na Mwenyekiti...
  10. L

    "Waraka mkuu nambari 1" utakuwa mfano wa nchi za Afrika kukuza sehemu za vijijini

    “Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
  11. Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  12. Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  13. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
  14. Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  15. DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

    Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
  16. Z

    Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  17. L

    Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  18. Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  19. List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

    Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…