afrika

  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2022, Qatar nilisema siishangilii timu yoyote ya Afrika je, nilikuwa sahihi?

    Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi. Na bado...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: Covid-19 yachangia ongezeko la Surua Afrika

    Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za kawaida za chanjo za awali Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, karibu visa 17,500 vya surua...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Umoja wa Afrika kujiunga na G20

    Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza kuunga mkono Umoja wa Afrika kujiunga na G20. Kama taasisi ya kikanda inayowakilisha idadi kubwa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu Afrika kusonga mbele kamwe ni nadra!.

    Kwa mtindo huu wa kiongozi yupo ukumbini anahutubia ila huko barabarani maisha hayaendelei ni nadra Tanzania kufika uchumi wa kati, ile mnayoitangaza kila wakati huwa ni chengatu. Yaani hata nyie viongozi mnapokuwa kwenye shughuli zenu za kikazi mjue mnatesa na kuwapotezea raia muda. Naelekea...
  6. JamiiForums Tanzania Japo ni Mwafrika mweusi siwezi kuwa zuzu wa kushangilia timu za Afrika huko Qatarl katika Kombe la Dunia

    Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  8. JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  9. JamiiForums Tanzania Sikujua kama ritual s3x ipo Afrika

    Kutoka nchini Zambia, mwanaume mmoja amerudi nyumbani kwake na kumfumania mke wake wa ndoa akiwa chumbani na mwanaume mwingine. Mwanamke huyo ambaye ni mjamzito alikuwa akivunja amri ya sita na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mchungaji (kutokana na picha zake zilizosambaa zikimwonyesha akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 7 kwa matajiri Afrika

    Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati. Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
  12. JamiiForums Tanzania Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kusaidia Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia kufika mbali katika mashindano?

    Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon...
  14. JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  15. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  16. JamiiForums Tanzania Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack. Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
  19. JamiiForums Tanzania Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  20. L

    JamiiForums Tanzania CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…