Kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2022, Qatar nilisema siishangilii timu yoyote ya Afrika je, nilikuwa sahihi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,716
109,150
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi.

Na bado nasisitiza kuwa pamoja na mimi kuwa ni Mwamfrika Mzanaki, Mmakuwa, Mtutsi kamwe sitopoteza muda wangu kuishangilia timu yoyote ile kutoka barani Afrika na nawaonea mno huruma hata kuwadharau Waafrika mnaozishangilia timu za Afrika katika hii michuano ya Kombe la Dunia na kuna muda pia huwa nawaona ni kama vile hamnazo!

Kama kawaida yangu timu zangu ni Argentina, Ufaransa, Ujerumani na Uhispania na nina uhakika moja wapo hapa ndiyo inaenda kuwa bingwa hata kama imeanza vibaya.

Michuano pekee ambayo itaandaliwa na nitajitoa kwa moyo wangu na nguvu zangu zote kuzishangilia timu za Afrika ni pakiwa na mashindano ya Ubingwa wa Ujinga, Maradhi, Umasikini na Ushamba uliyotukuka.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
 
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali Kitu au Anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na Tunu ( Shani ) nyingi alizobarikiwa nae na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima Kimaono na Kugundua Madhaifu / Mapungufu ya Kimsingi.

Na bado nasisitiza kuwa pamoja na Mimi kuwa ni Mwamfrika Mzanaki, Mmakuwa Mtutsi kamwe sitopoteza muda wangu Kuishangilia Timu yoyote ile kutoka Barani Afrika na nawaonea mno Huruma hata Kuwadharau Waafrika mnaozishangilia Timu za Afrika katika hii Michuano ya Kombe la Dunia na kuna muda pia huwa nawaona ni kama vile Hamnazo.

Kama kawaida yangu Timu zangu ni Argentina, Ufaransa, Germany na Spain na nina uhakika moja wapo hapa ndiyo inaenda kuwa Bingwa hata kama imeanza vibaya.

Michuano pekee ambayo itaandaliwa na nitajitoa kwa Moyo wangu na Nguvu zangu zote Kuzishangilia Timu za Afrika ni pakiwa na Mashindano ya Ubingwa wa Ujinga, Maradhi, Umasikini na Ushamba Uliotukuka.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Aka popoma the great
 
Back
Top Bottom