#COVID19 Utafiti: Covid-19 yachangia ongezeko la Surua Afrika

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,041
1,672
Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za kawaida za chanjo za awali

Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, karibu visa 17,500 vya surua vilirekodiwa katika nchi 20 barani Afrika kati ya Januari na Machi 2022, kuashiria ongezeko la 400% ikilinganishwa na kipindi kama hicho mnamo 2021

Aidha, tokea kuanza kwa janga hili Afrika imeshuhudia milipuko ya kimeta, kipindupindu, homa ya manjano, uti wa mgongo na magonjwa mengine ya kuambukiza ambayo yanaweza kuepukika kwa chanjo za Watoto za awali

................

The rise in vaccine preventable diseases such as measles and polio in African countries has been attributed to the slow uptake of childhood vaccines at the beginning of the Covid-19 pandemic.

A report by the Tony Blair Institute shows that the Covid-19 put some health systems under immense pressure and stretched others beyond their capacity.

For instance, when lockdowns were imposed to slow the spread of the virus, parents and guardians were not able to take their children to hospitals for their routine vaccination schedules.

According to the World Health Organization, almost 17,500 cases of measles were recorded in Africa between January and March this year - marking a 400% increase compared with the same period in 2021.
The cases were from 20 African countries.

In February, Malawi reported a case of wild polio in a three-year-old girl - the first of its kind in Africa for more than five years.

Mozambique also reported a case in May. Wild polio is endemic in only Afghanistan and Pakistan.

The continent has also witnessed outbreaks of anthrax, cholera, yellow fever, chikungunya, meningitis, and other infectious diseases which account for more than 80% of reported health events.

The authors of the report want governments to prioritise public-health spending and recruiting more health workers so as to deal with increasing outbreaks.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom