afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania CPC yaongoza ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye mustakabali wa pamoja

    Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika imekubali kutukanwa?

    Afrika ni ara zuri. Limebarikiwa rasimali kede kede, lakini haziwanufaishi wananchi wake. Afrika ni bara kubwa. Lina mchango mkubwa sana kwa mataifa mengi ya Magharibi, hasa katika suala zima la malighafi na nguvu kazi. Katika miaka ya hivi karibu, kumeibuka baadhi ya watu walioonesha dharau...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watu wanazidi kujionea matunda ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Parachichi kutoka Kenya, korosho kutoka Tanzania, kahawa kutoka Ethiopia... katika miaka ya hivi karibuni, bidhaa bora zaidi za Afrika zinazidi kupendwa na wachina wa kawaida; huku barani Afrika, vijana wakiweza kununua bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa China kwenye jukwaa la biashara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

    Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
  5. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ashinda Tuzo ya Viwanda Afrika, amshukuru Rais Samia

    Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna vitu vya kufikirisha sana hii nchi na Afrika kwa ujumla

    Habari zenu wanajamvi, Poleni na majukumu na ninaimani Muumba wetu amejaalia tumeamka salama, kwa wale wenye kujisikia kuumwa poleni sana. Kuna vitu vingi sana vinafikirisha katika Taifa letu. Kwanza kabisa kwa nin mtawala huwa hakili makosa yake inapotokea kakosea, na inapotokea mtu kuikosoa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Mashaka Ngole atoa msaada Jimbo la wilaya ya wete PEMBA

    Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia...
  8. JamiiForums Tanzania Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  10. JamiiForums Tanzania Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania "Kuacha kutumia dola ya kimarekani" imekuwa maoni ya pamoja ya nchi za Afrika

    Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Uchunguzi , Tanzania na Afrika

    Utangulizi: Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
  14. JamiiForums Tanzania Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki Zinatupa Picha Gani

    Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24 Tanzania Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya makanisa Afrika kufurika kuliko Ulaya ni kwa Sababu dini ilianzia Afrika

    Ukisoma Biblia Mungu aliongea na Musa Misri Ndipo imani ya Mungu wa Kweli ilipoanzia baadaye ikapelekwa Israel ambako Yesu ndiko alizaliwa tokana na kizazi kilichotoka Afrika na kwenda kuishi Israel kikiongozwa na Musa na Joshua. Yesu kizazi cha Africa alipotaka kuuawa Israel akiwa mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake. Idd Amini...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wanaweza kuwasuluhisha Wazungu wanaopigana?

    Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti za Afrika Mashariki

    East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30). https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/eac-finance-ministers-table-2023-24-budgets-4272350
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwezo wa Afrika kwa Ukuaji na Maendeleo

    UTANGULIZI Katika dunia ya leo viongozi wengi hawawajibiki sana majukumu yao, wanachosema ni tofauti na wanachofanya, hii ndiyo sababu watu wengi wanashindwa kuwaamini. Wengi wetu tunajua kuwa haiwezekani kuweka imani yako kwa mwanasiasa lakini kwa njia fulani sio watu wote sawa...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika. Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022 - 31st May 2023) 1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad 🇲🇦 3. Zamalek 🇪🇬 4. Pyramids 🇪🇬 5. Sundowns 🇿🇦...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…