Je, unahitaji mwalimu bora anayekufikia nyumbani au online?
Sisi tunatoa HUDUMA ZA HOME TUITION kote Afrika Mashariki 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸
🔹 Mitaala yote (NECTA, Cambridge, IGCSE n.k)
🔹 Masomo yote kuanzia chekechea hadi sekondari
🔹 Lugha zote za kigeni
🔹 Mafunzo ya mtu mmoja mmoja au makundi
🔹 Online &...
Katika Hali isiyokua ya kawaida baada ya mbinu zao chafu kufeli ama ushindi wa mezani kufeli, Sasa hasira zao wanazimalizia kwa mashabiki na wageni waliokuja ama walikuepo nchini humo kwa ajili ya kuja kuangalia michuano hio...Morocco inaonyesha uadui mkubwa kwa raia wa mataifa mengine ya...
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka...
Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana.
Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
Moja ya jambo lilosumbua US na EU ni nini sababu ilivyo nyuma ya Anguko lao la Ushawishi katika Bara Afrika.
Siasa zao za Kuwabeba Viongozi Vibaraka Kwa muongo mingi ilizalisha Chuki za Wananchi wa Nchi husika dhidi ya Marekan na Ulaya, Wananchi wakiwaita WAKOLONI MAMBO LEO
Ni katika hili...
Usalama wa kusafiri barani Afrika unatofautiana kwa kiwango kikubwa, kulingana na eneo na nchi husika.
Viwango kama Global Peace Index (GPI) na Safest Countries Index hutumika kupima usalama wa kisiasa na wa raia katika nchi mbalimbali.
Kwa mujibu wa viwango hivyo, Mauritius inaongoza kwa kuwa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza.
Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
12 January 2026
Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA
Januari 12, 2026
WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo.
Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia.
ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60 baada ya uhuru ku-undo colonial capitalistic economic system iliyokuwepo ambapo ilikuwa well...
Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha.
Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka.
Lengo la itifaki...
Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani.
Na kwa Ayoub Katuga...
Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo.
Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.