afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  3. JamiiForums Tanzania Daktari: Tanzania inaongoza kwa unywaji pombe Afrika. Kwa mwaka kila Mtanzania anakunywa ndoo ndogo

    Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China inaiangalia Afrika kwa mtazamo wa ushirikiano wa kunufaishana

    Ulimwengu unakubali kuwa Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa asili ambao bado haujatumika ipasavyo, nchi ya China imekuwa karibu mno na bara hili na kujenga uhusiano mwema hasa katika uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi. China imekuwa nchi ya kwanza duniani inayoamini kwamba njia pekee ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Afrika kwenye kundi la G20 ni hatua muhimu kwenye kuongeza sauti ya Afrika kwenye jukwaa la kimataifa

    Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya Watu Wanaojiua

    Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi. Mbali na changamoto za...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi 12 zenye Demokrasia Bora Barani Afrika

    Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya Demokrasia duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU), 12% tu ya Nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia zikiongozwa na Mauritius. Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokarasia ni pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
  12. JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa China kwenye operesheni za ulinzi wa amani barani Afrika utaendelea kuwa muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
  14. JamiiForums Tanzania Nimepitia Nicknames zote za Nchi za Afrika na Kuvutiwa zaidi na ya Tanzania

    Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine. Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi

    Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Nchi za Afrika zimekubaliana kushirikiana katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ikiwemo usafirishaji wa bidhaa ndani ya Bara la Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Africa Climate Summit 2023: Afrika hupoteza 5%-15% ya pato la ndani kila Mwaka kutokana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi

    Rais wa Kenya William Ruto amesema Mabadiliko ya Tabianchi yanatafuna maendeleo ya kiuchumi ya Afrika na ni wakati wa kuwa na mazungumzo ya kimataifa kuhusu kodi itakayotozwa wachafuzi wa mazingira. Kwa mujibu wa rais Ruto, bara linalokua kwa kasi la Afrika lenye wakazi bilioni 1.3 linapoteza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi

    Mkutano wa kwanza wa kilele wa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Nairobi nchini Kenya. Katika miaka mingi iliyopita, China imechukua hatua madhubuti ili kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kutokana na mabadiliko ya tabianchi duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Umwamba wa nchi za Magharibi wazuia nchi za Afrika kushiriki kwa haki kwenye upunguzaji wa utoaji wa kaboni

    Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…