afrika

  1. T

    Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

    Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China. China kanisa katoliki la Vatican halina...
  2. Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  3. J

    Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

    Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
  4. Iran yatishia kuziba mfereji wa Gibraltar ambako meli zinazozunguka Afrika Kusini hupita kwenda Israel

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakati vita vikiendelea,mori wa vita sasa umepanda kwa Iran na kusema iwapo vita havitasimama basi dunia ijitayarishe kuona taifa hilo likiuziba mfereji wa Gibraltar. Mfereji huo kama ilivyo kwa mfereji wa Sueza na bahari nyekundu nao ni njia kubwa ya baharini...
  5. T

    Poland na Ukraine waungana na Nchi za Afrika Kupingana na Waraka wa Papa kuhusu Kubariki Ushoga Kanisani

    Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka. Nchi hizo za Ulaya...
  6. S

    Takwimu Za klabu Afrika zinazoongoza kwa kupiga Pasi Sahihi ( Wananchi #3)

    Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
  7. Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  8. Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  9. L

    Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  10. Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

    Wenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu, Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja...
  11. Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
  12. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” limesaidia kuchochea maendeleo ya Afrika katika mwaka 2023

    Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio hayo muhimu China ilitajwa mara kadhaa, na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” lilionekana kuwa...
  13. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  14. M

    Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

    ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking) Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
  15. Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  16. T

    Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
  17. Cape Town, Afrika Kusini ingekuwa Tanzania, yote ingekuwa ni Hifadhi

    Nimebahatika kutembelea miji mingi Duniani iliyoendelea nilichojifunza ni kwamba wazungu hawataki sisi tuendelee kwani wanachokifanya kwao kwetu wanakizuia, mifano mingi kuanzia kutenga maelfu ya square kilometers kwa ajili ya wanyama na “kutunza na kuhifadhi nature” mpaka uchafuzi wa mazingira...
  18. Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

    Wanaukumbi. ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸 Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba, "Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
  19. L

    Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  20. L

    China na Afrika zinajitahidi kutafuta njia zao za maendeleo

    Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na mafanikio yake kuwa dhahiri kwa wote, bali pia imetoa usaidizi mkubwa kwa maendeleo ya Afrika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…