afrika

  1. figganigga

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  2. P

    Je, nirudi home kuchukua mke au nitafute mwenza hukuhuku ughaibuni?

    Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa mataifa haya ili kuendeleza uzao. Nimeshafika ughaibuni(Kimsingi niko kwa Biden) nimekutana na wabongo...
  3. M

    Dkt. Samia atajwa Rais Bora Afrika 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023 Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  5. B

    Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  6. tamsana

    Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  7. The Dictator

    Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  8. greater than

    MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

    Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli Uganda - 2,Riadha Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
  9. L

    Mkutano wa FOCAC kuanzisha ngazi mpya ya uhusiano kati ya China na Afrika

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono Kuendeleza mambo ya kisasa na Kujenga Jumuiya ya Juu ya China na Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja.” Kwa...
  10. L

    Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC

    Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika. Kwenye...
  11. Superbug

    Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  12. Mhaya

    Nchi za Afrika zinazoshindwa kutoa pesa kwa Paypal

    Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa inaweza kubadilika muda unavyozidi kwenda kutokana na mabadiliko katika mazingira ya udhibiti, ubia na...
  13. greater than

    Masoko makubwa ya Hisa barani Afrika

    Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,, Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa...
  14. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  15. BARD AI

    Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  16. L

    Matunda ya FOCAC yawafanya viongozi wa Afrika kuwa na matarajio makubwa na mkutano wa Beijing wa mwaka huu

    Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024, viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika wameonesha kuridhishwa na wamekuwa na imani kubwa juu ya ushirikiano...
  17. GENTAMYCINE

    Tunaelimishana na Tunakumbushana tu kama 'Wanamichezo Wanaojielewa' na siyo 'Wanamichezo Washamba na Majuha' waliopo Afrika na Duniani

    1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta 2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba 3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season 4. Kaizer Chiefs ya jana...
  18. Pfizer

    Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la pili la umoja wa mataifa kuhusu utalii wa vyakula vya asili barani afrika

    Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
  19. USSR

    Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

    Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris. Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
Back
Top Bottom