afrika

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

    Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa. Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
  4. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Yanga Imekuwa Gumzo Afrika

    Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita. Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  6. chiembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana tu wananchi walikuwa wanalisema "Rutto Must Go" leo wabunge wanaimba "Gachagua must Go. Kuna haja ya siasa za Afrika kudhibitiwa na dola

    Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano. Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari. Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
  7. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania "Congo syndrome" ugonjwa unaoitesa Afrika

    Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu. Kikubwa katika uzinduzi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Afrika huwa wanabeba bunduki kubwa/ mitutu/ rifles badala ya bastola?

    Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
  10. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya barabara za Afrika ni hatari zaidi Duniani

    Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani. Ajali hizo zinachochewa na uzembe, mwendo kasi, ulevi na miundombinu duni. Ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO imetaja pia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vyakula kutoka Afrika vyafika katika meza za chakula nchini China

    Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili za dagaa wa maji chumvi waliokaushwa. Li anasema, anapenda watoto wake kula chakula bora, hivyo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China inapanua uwekezaji Afrika huku Marekani ikiizuia kuongeza uwezo wake wa uzalishaji

    Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  15. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

    Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ulaya Wana NATO Afrika tuna nini?

    Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani. Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Culture ya nchini Marekani ilivyoiteka afrika kupitia muziki toka enzi hizo

    OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika. Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap .. wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
Back
Top Bottom