Nkuruma,Lumumba,Magufuli,Sankara,Gadafi,Machel,Biko,Malangu,nk wamekufa kwa kuamini kuwa Mungu wa warabu na wazungu anawalinda.
Kiukweli wazungu na warabu waliwapotosha Mababu na Mabibi zetu kwa kuwaaminisha kuwa Mungu wao wa Kikristo na Kiislam ananguvu zaidi ya Mungu wao wa Asili wa Afrika...