afrika

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kosa linaloitesa Afrika

    6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. (Matayo 7:6). Ni Sehemu ya Mistari aliyoambiwa Afrika. Kauli yangu siku zote inawahusu mabinti ( wakike ),wana (wakiume) ambao...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tawala za Afrika na biashara ya nishati

    TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme. Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Afrika inahitaji kuibua Wagunduzi wake kupunguza utegemezi wa Teknolojia

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa rai juu umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana na kuibua Wagunduzi wake ili kuzalisha teknolojia yake badala ya kuendelea kuwa tegemezi. Dkt. Mollel ametoa kauli hiyo Machi 06, 2025 wakati akihutubia Mkutano wa 16 wa Mtandao wa Kamati za Bunge za...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
  8. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
  10. B

    JamiiForums Tanzania BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko Huru la Afrika (AfCTA)

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  11. rr4

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuongoza Africa

    Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo Chatgpt: M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na wanajeshi wa zamani wa kundi la CNDP (National Congress for the Defense of the People) waliokuwa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika vizingatie mahitaji ya sasa bila kusahau malengo yake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya kuanzishwa kwake. Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Aliyeweka video ya mwanajeshi akisachiwa kwenye mitandao kwani anatuma ujumbe gani?

    Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo. Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi. Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

    Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini. Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
  15. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

    Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Fedheha aliyopitia Zelensky Whitehouse imenifanya niwaze: Ingekuwaje Ghaddafi angeunganisha bara la Afrika Kisha Marekani ikatangaza vita na bara zima

    Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
  17. Sexer

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa viongozi wetu wa Afrika, nani kama Zelensky alivyowekwa mtu kati Pale white house

    Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
  18. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sisi sio Wabunifu?: Afrika Dhidi ya Maeneo Mengine ya Dunia

    Utangulizi Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

    Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi...
Back
Top Bottom