afrika

  1. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka Jumuiya ya Wahasibu Wakuu Afrika kuweka Mifumo ya Usimamizi wa Fedha za Umma

    Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani ikiwa ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na...
  2. Waufukweni

    Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  3. Mindyou

    Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  4. Lord Denning

    Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  5. Mwanongwa

    Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  6. S

    Maadhimisho ya miaka 25 ya jumuiya ya afrika mashariki (EAC)

    Nguvu ya Watu Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu. #EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
  7. B

    Museveni awashawishi Marais wa Afrika Mashariki kwa hoja ya historia ya miaka 1000 ya Muungano wa Kibiashara Afrika Mashariki Arusha Tanzania

    29 November 2024 Makao makuu ya EAC Arusha, Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999 https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
  8. S

    Unafiki wa Ufaransa waonekana waziwazi, haijali demokrasia Afrika bali masilahi

    Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
  9. Waufukweni

    Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

    Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics. Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
  10. I

    Nchi 10 za Afrika zenye mishahara mikubwa kwa wafanyakazi wake

    Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani. Hii kimsingi inachangiwa na ukuaji mzuri wa uchumi na mahitaji makubwa ya ujuzi maalum. Ripoti hii...
  11. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  12. Stephano Mgendanyi

    Tanzania Kuandaa World Travel Awards 2025 kwa Bara la Afrika - Dkt. Abbasi

    Na John Mapepele Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Dkt. Abbasi ametoa kauli hiyo leo Novemba 26, 2024 wakati akiongea na Vyombo vya Habari mara baada ya...
  13. Pfizer

    Tanzania kupitia TASAC imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika

    TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA Dodoma. Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini kuwa Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa...
  14. L

    JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  15. J

    Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  16. Suley2019

    Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  17. The Father of All

    Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  18. G

    Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

    record babkubwa zaidi. 1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu. 2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu. 3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON 4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
  19. Mshana Jr

    Misiba bado ina nguvu sana Afrika

    Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika na wageni wanautamani lakini hawawezi tena maana walishaharibu Nadhani ndio chimbuko la Ubhuntu...
  20. Waufukweni

    Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za...
Back
Top Bottom