HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,395
Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika.
Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi imekaribishwa kwa joto na serikali ya Ivory.
Hii inaonyesha wazu jinsi viongozi wengi wa Kiafrika wanavyoshirikiana na nchi za kigeni, hata wakati nchi hizo zinalenga kuwaangamiza Waafrika wenzake.
Fikiria kama kiongozi wa Kiafrika angemtuhumu hadharani Rais wa Amwrika lazima Ufaransa ingeingilia kati na kumkamata kiongozi huto wa Kiafrika na kumfunga lakini wakati Amerika inamtuhumu kiongozi wa Kiafrika, serikali zingine za Kiafrika zinamuuunga mkono.
Kukosekana kwa usawa huu kunaonyesha ni jinsi bado WAAFRIKA tunakosa URMOJA na UHURU wa kweli wa Kiafrika.
Suluhisho:-Waafrika tuachane na dini za kuja zinazopumbaza waafrika kwa kuwataka kuwapenda maadui zao ambao ni mataifa ya magharibi na vibaraka wao kwa 100% ndani ya afrika kwa kutokulipiza kisasi kwa kisingizio eti mungu hapendi,
Huu ni wakati wa waafrika kujilinda na kulipiza visasi na kumuweka pembeni mungu wa mataifa ya magharibi wanayeendelea kumnadi kupitia yesu na muhamad kwani ameshindwa kutulinda na kutusaidia waafrika