afrika

  1. JamiiForums Tanzania Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika tuache kulia lia kwa kukosa pesa. Tunaweza wote kuwa mabilionea

    Kila Mwafrika, akidhamiria, anaweza kuwa milionea au bilionea. Mimi nakataa dhana kwamba Waafrika tumelaaniwa. Kama ni laana, kwanini mabilionea hawa wa Afrika hiyo laana haijawaathiri? Hawa hapa baadhi tu ya mabilionea Waafrika na mali zao (net worth in billions of dollars): 1. Aliko Dangote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi identify yetu wa Afrika ni ipi hasa? Yaani kitu gani ambacho tuko proud nacho tuseme it our own?

    Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione si chochote wala si lolote na hivi waAfrika miaka na miaka tuneshindwa kutengeneza vya kwetu kuanzia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Utawala wa kimkakati, kimbinu, na kiuwajibikaji wa CPC wafaa kuwa mfano kwa nchi za Afrika

    Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo ya Afrika

    Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  8. JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano wa kunufaishana wa kibiashara

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mauzo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ni ulinzi au udhalilishaji unaofanywa na marais wa Afrika?

    Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nchi zetu za afrika mashariki vitamin D inapatikana kwenye jua tu kukidhi mahitaji ya mwili (Punguza kutumia usafiri unaoziba jua)

    Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
  13. JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  14. JamiiForums Tanzania Viwanja 10 vya Ndege Vyenye Shughuli Nyingi Zaidi Afrika/Safari nyingi, Taswira ya Usafiri wa Anga 2025

    Sekta ya usafiri wa anga barani Afrika inaendelea kukua, ikichochewa na maendeleo ya kiuchumi, utalii na ongezeko la miunganisho ya kikanda. Viwanja vya ndege barani humo vinazidi kuwa kitovu cha shughuli nyingi. Kwa kuzingatia takwimu za tarehe 23 Julai 2025, makala hii inachunguza viwanja 10...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  16. E

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa wahitimisha shughuli za Mfano wa Uigaji wa Umoja wa Afrika

    Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  18. JamiiForums Tanzania si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kutokana na utendaji marais wanawake Afrika waliopita/wa sasa. Je wanakidhi matarajio ya kuthibitisha USEMI kuwa "MWANAMKE ANAWEZA?

    Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE 1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania 2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia, 3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia 4. Joyce Banda- Malawi
  20. JamiiForums Tanzania AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…