Zaidi ya watu milioni 52 katika nchi 18 barani Afrika wanakabiliwa na baa kubwa la njaa, sababu ikiwa hali mbaya ya hewa, umasikini na migogoro kwa mujibu wa Oxfam.
Baadhi ya maeneo yana ukame kwa kipindi cha miaka minne huku nchi nyingine, ukame umefuatiwa na mafuriko makubwa kutokana na...