afrika

  1. JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini

    MKUU WA MAJESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- PRETORIA Leo Jumamosi tarehe 29 Mei, 2021. Mkuu wa Majeshi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, alitembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mwanachama Hai Mahakama Haki za Binadamu Afrika

    TANZANIA NI MWANACHAMA HAI WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA The Diplomat Kumekua na mitazamo hasi inayokosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula aliyoizungumza jana Mei 25, 2021 Siku ya Afrika Duniani kwa kusema "Tanzania ni mwana chama hai wa Mahakama ya Haki za...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jacob Zuma akana mashtaka ya ufisadi mwanzoni mwa kesi yake

    Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu. Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha wenye utata. Bwana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaacha kununia muungano wa AfCFTA. Hongera Rais Samia, watakuelewa tu

    Kwa kweli huyo mama anafanya yake. ========= The government will ratify the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) between June and October this year, it was heard in Dar es Salaam yesterday. The document will be taken to Parliament for ratification upon getting the endorsement of the...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Sikukuu ya pamoja kati ya China na Afrika

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi amehudhuria sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika hapa Beijing. Kwa niaba ya serikali ya China, Bw. Wang ametoa pongezi kwa mabalozi wa nchi za Afrika nchini China, mataifa ya Afrika na watu wao. Bw. Wang amesema, Siku...
  7. JamiiForums Tanzania Mei 25: Maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day)

    Serikali za Afrika huadhimishwa Siku ya Afrika kila Mei 25. Kaulimbiu ya Mwaka 2021 ni Sanaa, Utamaduni na Urithi: Njia za Kuijenga Afrika Tunayoitaka. Siku hii ni kumbukumbu ya kila mwaka ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU) Mei 5, 1963 ambayo baadaye ilibadilishwa kuwa Umoja wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu zilizotumika kuwadhibiti watumwa kipindi cha utumwa na jinsi zinavyofanya kazi mpaka sasa

    FAHAMU MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADHIBITI WATUMWA KIPINDI CHA UTUMWA NA NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI SASA Kwa kuanza kwanza inabidi tufahamu biashara ya utumwa ni kitu gani? Biashara ya utumwa ilikuwa ni biashara ambayo ilihusisha kukamata, kuuza na kununua watu na kuwatumia kama watumwa. Biashara...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haitamsahau “baba wa mpunga chotara”Yuan Longping

    “Kuwanufaisha watu wote wa dunia ni moja ya matumaini yangu ya maisha.”“Baba wa mpunga chotara” (yaani hybrid rice) Yuan Longping alisema hayo alipoulizwa kwa nini amehimiza upandaji wa “mpunga chotara” barani Afrika. Katika mkutano wa kwanza wa wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
  10. JamiiForums Tanzania Maendeleo yanaendana na mahitaji ambayo pia huwafanya Wazungu na Wachina kuja Afrika

    MAENDELEO YANAENDANA NA MAHITAJI,MAHITAJI HAYO NDIYO YANAFANYA WAZUNGU NA WACHINA WAJE AFRIKA. Leo 19:30hrs 21/05/2021 Tangu 1st hadi sasa 4th industrial revolution, maendeleo ya ubunifu wa viwanda yamekuwa yakiendana na mahitaji maalum ya matumizi ya “Materials” kuzalisha mashine...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hujengwa na Waliofeli shule ila wasomi huibuka tegemezi?

    Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi... kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wagonjwa mahututi wa Virusi vya Corona barani Afrika wapo hatarini zaidi kupoteza maisha

    Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani. Kwa mujibu wa Utafiti huo, hali hiyo ni kutokana na Hospitali kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu ambavyo vinasaidia kuokoa...
  13. JamiiForums Tanzania Viumbe, mimea na wadudu vamizi hugharimu Afrika dola trilioni 3.5 kwa mwaka

    Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka. Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za spishi zinazoletwa na shughuli za wanadamu. Nigeria, ambayo hasara yake inakadiriwa kuwa dola...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu wa pande nyingi tu unaoweza kuijengea Afrika amani na maendeleo

    Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi aliendesha mkutano huo. Ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu wa Baraza la...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  17. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

    Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wabadilisha mwelekeo na kufuatilia zaidi lugha za Afrika kikiwemo Kiswahili

    Hivi karibuni chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing BEWAI kilifanya mashindano makubwa yaliyowashirikisha wanafunzi wanaosomea lugha mbambali za Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China, zikiwemo Kiswahili, Kihausa na Kiamhara. Lengo la mashindano haya ni kukuza uelewa wa Wachina...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…