afrika

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio nchi ya kwanza Afrika ku-host U-20 world Athletics Championships

    Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita. Hapa chini team kutoka Poland...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ishara za utawala wa kiimla hizi hapa

    Maditkteta hupanda madarakani kupitia vurugu au mapinduzi au wizi wa kura. Hata hivyo wapo madikteta walioingia kwa njia halali na baadaye kugeuka na kuwa madikteta. Kwa mfano Adolf Hitler, aliteuliwa kuwa Chansela wa Ujerumani au mkuu wa serikali, na Rais Paul von Hindenburg mwaka 1933. Baada...
  4. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Usafi ni jambo muhimu, linalotazamwa kuanzia kwa mtu binafsi, nyumbani, ofisini, jamii ama taifa. Na watu wanaoishi kwenye eneo safi kwa mujibu wa wataalamu wanatajwa kuwa na maisha marefu zaidi kuliko wale wanaoishi kwenye mazingira machafu. Maji safi, hewa safi, utunzaji mzuri wa taka na...
  5. JamiiForums Tanzania Simba kama Majimaji mwaka 1999

    Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu. hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora ni chachu ya maendeleo chanya Tanzania na Afrika

    UTANGULIZI Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho . Uongozi ni wajibu ,dhamana, jukumu, deni unalopaswa kulilipa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za nchi za Afrika kwenye michezo ya Olimpiki

    Kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyomalizika hivi karibuni, kumekuwa na mambo mengi mapya ya kushangaza na kufurahisha, ikiwa ni pamoja baadhi ya nchi kupata medali kwa mara ya kwanza kwenye baadhi ya vitengo, na hata uwakilishi wa baadhi ya nchi kwenye michezo hiyo kuwa wa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michuano ya Olimpiki inafika kikomo huku Kenya ikiongoza Afrika kwa idadi ya medali

    Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili. ======== Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
  10. B

    JamiiForums Tanzania RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique

    4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
  11. JamiiForums Tanzania Vip interviews za Amref Afrika pale Dar makaomakuu

    Kwa wale ambao mulishawahi fanya interview za Amref Africa pale makaomakuu Dar wanaeleweka au wanna undugulazation na connection Kama haya mashirika mengine.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini China iwe ajenda ya siri mkutano wa wafanyabiashara kati ya Marekani na Afrika?

    Viongozi wa kisiasa na biashara wa Marekani na nchi za Afrika walifanya mkutano wa kilele kati yao kwa njia ya video kuanzia tarehe 27 – 29 Julai, ukiwa na kauli mbiu ya “njia mpya za kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Afrika”. Kwa Marekani mkutano huu ni moja ya hatua za Rais Joe Biden...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaeneza kwa vitendo “fikra za vita baridi” barani Afrika?

    Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  15. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Afrika, unaweza kuinua maisha ya wakulima wengi wa Afrika

    Ile zama ya vyama na serikali kuwa wadau pekee wa uhusiano kati ya China na Afrika sasa imepita. Mageuzi makubwa ya kiuchumi yamefanyika nchini China na maendeleo makubwa yamepatikana, hali hii imefanya serikali isiwe mdau pekee wa ushirikiano. Tangu China ianzishe ushirikiano wa kimkakati wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

    Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…