afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni Awapa Shule ya Historia Viongozi wa EAC. Awasimulia zaidi ya miaka 1,000 ya Ushirikiano wa Kibiashara wa Nchi za Afrika Mashariki

    Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024. Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), aliwapa viongozi wa Jumuiya hiyo somo la kina kuhusu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Museveni awashawishi Marais wa Afrika Mashariki kwa hoja ya historia ya miaka 1000 ya Muungano wa Kibiashara Afrika Mashariki Arusha Tanzania

    29 November 2024 Makao makuu ya EAC Arusha, Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999 https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024. https://www.youtube.com/live/yR5TbO9BaMk?si=AvOdwHUNK5W1i9G0 VERONICA MUENI NDUVA, KATIBU MKUU - JUMUIYA YA AFRIKA...
  4. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Wakuu wa mamlaka za mapato Afrika Mashariki wakutana

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya. Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je, unautambua Wimbo wa Taifa wa Afrika Mashariki?

    Chorus Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu. 1st stanza Ee Mungu twaomba ulinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. 2nd stanza Uzalendo pia mshikamano Viwe msingi wa Umoja wetu Natulinde Uhuru na...
  7. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  9. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa masaa Afrika Mashariki

    Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali? Na...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Afrika Tulilogwaje?, Eti Huyu ni Kiongozi wa Nchi!.

  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aweka rekodi, awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuwania Tuzo za MTV Europe Music Awards kwa Mihula Mitano

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja. Katika mihula minne...
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rapa Prezzo adai yeye ndiye chanzo cha Diamond Platnumz na Wasanii wengine wa Afrika Mashariki kuanza kupata Pesa

    Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania DR Congo yatishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje? Habari kamili. ========== Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iwapo jumuiya hiyo itashindwa kuiwajibisha Rwanda kwa madai...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Misri

    Rejea kichwa cha habari. Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni? Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika ==== Dr. Liduine Baradahana -...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
Back
Top Bottom