afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  2. Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

    Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani. Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
  3. Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  4. CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

    Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
  5. Afrika Kusini na Chuki dhidi ya Wahamiaji - (Mwenzako Akinyolewa)

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji. --- Inside South Africa's Operation Dudula: 'Why we hate foreigners' South African anti-migrant group Operation Dudula...
  6. Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  7. Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  8. P

    SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  9. Afrika Kusini: Watu watano wauawa katika ghasia za mgomo wa taksi Cape Town

    Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza. Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
  10. Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  11. Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  12. Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

    Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili. Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
  13. Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
  14. Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  15. Afrika Kusini: Idara ya Haki na Katiba yapigwa faini kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi

    Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice and Constitutional Development” DoJ&CD. Kabla ya kupigwa faini DoJ&CD ilipewa notisi ya siku 30...
  16. Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  17. Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

    X
  18. Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
  19. Kimenuka huko Afrika Kusini

    Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu
  20. Uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara

    Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni. Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…