afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    https://www.youtube.com/live/PTbikZP3ljI?feature=shared ========= UPDATE: Mjumbe wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa, amechaguliwa tena na Wabunge kuwa Rais wa taifa hilo kwa awamu ya pili Licha ya ushindi huo, Ramaphosa anakwenda kuongoza Serikali iliyoundwa...
  2. Joshua Panther

    JamiiForums Tanzania Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana Ijumaa wakati vyama vinang'ang'ania kuunda Serikali ya mseto

    Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa, huku vyama vikijaribu kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi wa hivi majuzi kutotoa mshindi wa moja kwa moja. "Kikao cha kwanza cha Bunge kitakuwa Ijumaa, 14 Juni 2024," aliandika Jaji Mkuu Raymond Zondo katika agizo...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya ANC yaahirisha kikao kufuatia mzozo ndani ya chama hicho

    Chama cha African National Congress (ANC) kimeahirisha kikao chake cha kamati kuu ya kitaifa (NEC) kilichopangwa kufanyika leo Jumanne, na sasa kitafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 6 Juni, 2024. Mmmoja wa viongozi wakuu wa chama cha ANC ameeleza kuwa kuahirishwa huko ni matokeo ya mzozo mkubwa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Afrika kusini wanataka makubaliano kati ya ANC na DA

    Randi ya Afrika Kusini imeimarika kwa kiasi mapema leo Jumatatu, huku wachambuzi wakisema wanatarajia kwamba mazungumzo ya kisiasa wiki hii, kuunda serikali yatachochea zaidi thamani ya sarafu hiyo. Hii ni baada ya chama tawala cha African National Congress ANC kushindwa kupata idadi ya viti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Afrika Kusini ni Kama Uchaguzi wa Tanzania Mwaka 1995 na 2015

    Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania, atatoka ndani ya CCM. Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM alitoa upinzani mkubwa sana dhidi ya CCM. Pia Lowasa mwaka 2015 alipunguza ushindi wa CCM alipogombea...
  6. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Afrika Kusini

    Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9 zimekusanywa katika jumla ya vyama 18 vya siasa vilivyo shiriki uchaguzi huu. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

    Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

    Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Chile joins developing nations...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Zama za chama cha ANC kutamba Afrika Kusini yafikia tamati

    Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa utawala wa kibaguzi. Mamlaka iliyodhoofika sana kwa chama cha urithi cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Duru za Uchaguzi Afrika Kusini. Umokhonto We Sizwe

    Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya zote, na MK imeshika nafasi ya 3. Hata hivyo ina tegemewa kuongezeka kufika mpaka asilimia 17 zoezi la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi huru na yanayotokea Afrika kusini

    Wanajamii, Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu. Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini: Upigaji Kura umeanza leo, 32% ya Wananchi hawana Ajira

    UPDATE: Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo Kura zinaendelea kupigwa katika Gereza la Kgosi Mampuru, Pretoria, lenye wapiga kura waliosajiliwa 2,908...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jacob Zuma apigwa chini kushiriki Uchaguzi Mkuu wiki ijayo Afrika Kusini

    AFRIKA KUSINI: Mahakama ya Juu imetoa uamuzi unaomuondoa Jacob Zuma, Rais wa zamani wa taifa hilo katika orodha ya Wagombea katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, imeelezwa kuwa Zuma amepoteza sifa za kushiriki Uchaguzi kutokana na Kifungo cha...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  19. S

    JamiiForums Tanzania Produza wa Afrika Kusini Ameomba Msamaha Wa Tanzania Hasa Mashabiki wa Yanga

    Tumepokea japo hatuwezi kusahau
  20. runtown

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
Back
Top Bottom