Mkuu wa jeshi la polisi Afrika Kusini ametakiwa kufika mahakamani kuhusiana na kandarasi ya huduma za afya ambayo ipo chini ya uchunguzi wa jinai.
Jenerali Fannie Masemola “amekabidhiwa notisi ya kufika mahakamani” tarehe 21 Aprili kutokana na madai ya kuhusika kwake katika utoaji wa zabuni...
Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 13, 2026.
Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni kupanua kasi ya mtangamano wa kikanda kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ili kutengeneza ajira...
Beki wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Dickson Job leo amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini.
Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo umeenda vizuri kwa beki huyo.
Job aliumia goti katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, Machi Mosi...
Operesheni ya "Lion Roar" inapoanza leo, tarehe 28 Februari, tunazungumza sio tu kama wanajamii wa Iran nchini Afrika Kusini, bali kama wana na mabinti wa taifa la kale ambalo historia yake inafungamana na ile ya Israeli.
Katika wakati huu mtakatifu wa Purimu, wakati Wayahudi ulimwenguni kote...
Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X:
No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia.
ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025
Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya!
Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
afrikakusini
mauaji ya uchaguzi tanzania
samia suluhu hassan
serikali batili
serikali ya samia
taasisi ya thabo mbeki
thabo mbeki
trt afrika
uchaguzi haramu wa tanzania
Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha...
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh
Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.
Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025.
Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa benki wa mtandaoni, roboti za kiafya zinazojibu maswali, magari yanayojiendesha yenyewe, hata...
Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, alifariki dunia mwezi Juni 2025 akiwa na umri wa miaka 68 katika...
Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini Afrika Kusini. Kundi hilo lilikutwa na hatia Februari 25 kwa kuwasafirisha raia 91 wa Malawi wasio na...
Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao...
Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza mambo mengi sana ambayo yatawaongezea kitu kuelekea robo fainali.
Pia kwa upande wetu sisi...
1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa
2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua
3. Hana maajabu yoyote uwanjani
4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana
5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu
6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake
Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo...
Wakati watiania wanane wa ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba wakiendelea kunadi sera zao, ameibuka mtiania Alphonce Temba aliyeahidi kuwapeleka wajumbe Afrika Kusini kwa ajili ya kujifunza masuala ya bima ya kifo.
Amesema wataenda kupata elimu ya bima ya kifo itakayosaidia...
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.