africa

  1. JamiiForums Tanzania Afrika na sisi tunaendaga Ulaya kutalii na kuangalia Vivutio Vyao?

    Habari za usiku huu! Najiuliza wazungu huku Afrika wanakuja wengi sana kutalii wengine kazi, na chungu nzima wapo humu. Nasisi je huwa tunaweza kwenda kwao kama huku tu na kwenda kuangalia mbuga za wanyama, na milima tukapiga picha na kuvaa zile kofia kubwa za kitalii mabegi mgongoni. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Where is Jr Junior wa East Africa Radio?

    Habari wadau wa JF, Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa au dablyu wachafu washampitia na upepo wa kisuri suri? Nawasilisha.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Julius Yego appointed head of Africa at global body

    Javelin Champion Julius Yego has been appointed to head Africa at a global organisation, The Athletics Association. The association's president Christian Taylor announced on Thursday, July 16, during the formal launch of the company that was necessitated by an outcry from athletes globally...
  4. JamiiForums Tanzania AFRIKA BARA GIZA: Were there xenophobic attacks against black foreigners or just diplomatic and political standoff between South Africa and Nigeria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania eti; Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH...
  5. JamiiForums Tanzania Who are the best performing Presidents in Africa?

    Its a new dawn in Africa, the wars have ended, the soldiers have returned to their barracks, democracy is in full swing, and economic growth is at its highest. script: Africa has come a long way since the year 2000 when The Economist published this magazine branding the continent as hopeless...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa

    Credit: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa ''Dar es Salaam. Tanzania’s economy is forecast to grow at 5.2 percent this year, while six Eastern African countries’ economies are projected to plunge into recession, blaming the trend on the Covid-19 pandemic, a new report...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump azipiga lock nchi zote Africa kasoro 1 tu. Trade deal na Kenya is laughable

  8. JamiiForums Tanzania Tanzania to register fastest economic growth in East Africa

    source: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa Most Powerful Countries 2020

  10. M

    JamiiForums Tanzania The west depends on Africa, not the other way around

  11. M

    JamiiForums Tanzania South Africa belongs to the White people ,Black people just live there,Here is the proof

    According to statistics, 80% of South Africans are black, while only around 8% are white. Yet white families earn an average of $35 739 (R608 079) per year, five times more than black families who earn an average of $7 479 (R127 251) per year. In recent years, monopolizing a good part of the...
  12. M

    JamiiForums Tanzania 11 Countries with the Highest number of Witch craft in Africa

    This article doesn't mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African. According to research,Their are 55 countries in Africa but not all could be found with witchcraft. We must know that the Witchcraft in Africa countries is different from that in other...
  13. M

    JamiiForums Tanzania See the Funny and Hilarious things you can only enjoy in Africa

    Ever wonder how Africa is different from the other world? Well I have few of her funny sides to tell you about. Africa is home to all the major wonders in life, and with that I mean there is more to this blessed continent than just the jolly good stuffs such as fresh air, resources and wealth...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Meet a White man who is to Rule Africa

    When you are destined to lead a particular people, your race and background can never be a hindrance to what fate has programmed. Here is a brief article about the white man that defied all odds to become the first post independence President of a Sub-Saharan African country. Meet Guy Lindsay...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka maandamano hadi “mapinduzi”, waandamanaji wa “BlackLivesMatter” wanataka kufikia lengo gani?

    Mwezi zaidi ya mmoja umepita tangu maandamano ya kupinga kifo cha mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd mikononi mwa polisi kuibuka nchini Marekani na kusambaa katika Ulaya, Australia na baadhi ya nchi za Afrika. Dhamira ya awali ya maandamano hayo ilikuwa ni kupinga ubaguzi wa rangi...
  16. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

    Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund

    Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund Series A and Series B deals together accounted for 29 per cent of the total deal volume and 38 per cent of the total value of early-stage deals. In Summary Fintech and information technology dominated the African start-up scene, with...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viache Demokrasia ikue Afrika, viige mfano wa Malawi

    Nivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni...
  20. JamiiForums Tanzania Kanali Gadafi utendaji usio fikiwa na mtawala yeyote wa Africa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…