Africa na watu wake

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Forbes.com October, 9 Mwaka 2016 walionesha kuwa, idadi ya Walimu imefikia milioni 90
UNESCO walikadiria bado kutakuwa na hitaji la Walimu kati ya milioni 69 - 70 ili kufikia malengo ya Dunia "Sustainable Development Goals" SDG's ifikapo mwaka 2030.Hii inaonesha uhitaji wa Walimu utaendelea kuongezeka.

Lakini tayari kuna uhaba mkubwa wa Walimu Uingereza,Canada.

Kenya wanamchoma Mwalimu mwenzetu kisa shule hujapata matokeo mazuri. Ndiyo maana kwenye kiitikio cha wimbo wa Afrika kuna maneno "Mungu ibariki Afrika na watu wake".
 
Mtoa mada umekuwa na speed ya kutoa bandiko nadhani ili u_take off nafasi ya kwanza, yaani ukisoma nwenyewe ulichoandika ni swadakta, ila walaji huku tunashindwa kutafuna asee!.
 
Mantiki yangu ni kwamba kuna hitaji kubwa ka Walimu bado Duniani lakini bado taaluma hii ya ualimu katika Nchi za Afrika inadhalilishwa sana.
Hizo takwimu achana nazo kama ni tabu.
 
Ndiyo maana kwenye kiitikio cha wimbo wa Afrika kuna maneno "Mungu imbariki Afrika na watu wake". Nimeshindwa ku tally
Forbes.com October, 9 Mwaka 2016 walionesha kuwa, kuna Walimu milioni 90
UNESCO walikadiria bado kutakuwa na hitaji la Walimu kati ya milioni 69 - 70 ili kufikia SDG's 2030.

Lakini tayari kuna uhaba mkubwa wa Walimu Uingereza,Canada.

Kenya wanamchoma Mwalimu mwenzetu kisa shule hujapata matokeo mazuri. Ndiyo maana kwenye kiitikio cha wimbo wa Afrika kuna maneno "Mungu imbariki Afrika na watu wake".

Jr
 
Kweli bwana Afrika ina watu wake wenye roho za kutu kwelikweli ambao wao wako bize kuwajadili wenzao wenye mawazo mbadala
 
Back
Top Bottom