africa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Africa Uncovered: The systematic suppression of opposition voices to avoid election defeat in Tanzania?

    https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially hailed as a reformer for reversing Magufuli's controversial policies and reviving Tanzania's...
  2. JamiiForums Tanzania Exclusive Video ya 1974: Magoli ya Simba yaliyoipeleka Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Africa

    Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona. Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  4. JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  5. JamiiForums Tanzania Ijue historia: kikosi cha simba msimu wa 2024-2025 kilichofuzu fainali za kombe la shirikisho barani africa cafcc. 2025

    Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025. KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205. kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya wachezaji na nchi zao: GOLIKIPA 1. Mussa Camara🇬🇳 2. Aishi Manula 🇹🇿 3. Ally...
  6. JamiiForums Tanzania TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu. Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wanafanana uwezo wa kufikiria

    Unakuta viongozi wote wa Afrika matatizo yanafanana. Hawana sera zozote za maendeleo wa kikaa kwenye kiti wamekaa na kujiona wako juu hicho ndo kitu wanataka. Ni tofauti na nchi za mwarabu kidogo wana uelewa. South nae awashukuru wazungu kubakizwa lakini hii ngozi na ubabe damudamu. Tutasanda...
  9. JamiiForums Tanzania Africa today; Do we need a third revolution for human rights?

    It is indisputable fact that colonial powers misused states agencies to torture, subdue and plunder our countries. These observations as bad as they were, they were no less of what was expected out of colonialism because their agenda was that of exploitation. Freedom fighters across the...
  10. JamiiForums Tanzania Haya mambo utayapata Africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani

    Haya mambo utayapata africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani. Haya mambo kama huelewi ndio anayofanya samira watu wamehamasisha uwepo wa haki kwenye taifa wanaitwa waahini, watu wameenda mahakamani wanaitwa wafanya vurugu, watu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Jamii Forums

    Salamu wakuu! Wadau naomba mnikaribishe kwenye nyumba ya Great thinkers kijana mwenye damu changa, mwenye mawazo yanye tija Kwa taifa. Asanteni sana.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi 11 tajiri Afrika kulingana na GPD

    Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa; 1. Afrika Kusini $410.34b 2. Egypt $347.34b 3. Algeria $268.89b 4. Nigeria $188.27b 5. Morocco $165.84b 6. Kenya $131.67b 7. Ethiopia $117.46b 8. Angola $113.34b 9. Côte d'Ivoire $94.48b 10. Ghana $88.33b 11. Tanzania $85.98b
  13. JamiiForums Tanzania Taswira ya uchaguzi wa nchi nyingi za Africa

    Chini ya meza, kuna wanajeshi kadhaa wakimpa kadi zaidi mtu huyu kwa siri, ikimaanisha kuna hila na msaada wa kijeshi kwa upande wake. Wengine wawili (mmoja mwenye mavazi mekundu na bereti, mwingine mwenye nguo za buluu), wanaonekana kuwa na wasiwasi, uchungu, na hali ya kutokuweza kushindana...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki.. Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
  15. JamiiForums Tanzania TISS ya Burkina Faso Bora Africa

    Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa. Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza...
  16. JamiiForums Tanzania Hoping for a "Black Pope" from Africa is ignorance on steroids. Kufikiri kwamba Papa mwafrika anaweza kuchaguliwa aongoze Vatikani ni ndoto za mchana

    Will Africa get a black Pope? Thinking that there can be a black Pope from Africa is ignorance on steroids. Why does Africa still seek validation through western institutions? Wakristo wengi wa Afrika hawajui na hawaelewi kwamba papa sio tu kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, bali pia...
  17. JamiiForums Tanzania Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

    What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population. Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  19. JamiiForums Tanzania Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?

    Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ? Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four . Je elimu Ina mchango gani.?
  20. JamiiForums Tanzania Tafakari picha hii na yanayoendelea Africa

    Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue. Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini. Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…