Tafakari picha hii na yanayoendelea Africa

Tafakari picha hii na yanayoendelea Africa

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,214
Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue.

Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini.

Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.

IMG-20250418-WA0119(1).jpg
 
Trump alisema Africa inatakiwa itawaliwe 100yrs tena na viboko vingi
 
Kaburu Peter Botha alisema " uhitaji kutumia silaha kumua mwafrika bali mpe silaha atamuua ndugu yake hadi hautoamini.
Ndo yanayoendelea Congo, watu wasio na hatia wanauwa kisa madini ya graphite,colbat, cotan, dhahabu nk.
Madini Africa yameleta laana na umwagaji damu
 
Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue.

Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini.

Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.

View attachment 3309654
Tumeletewa dini za kizushi na kupumbazwa akili makusudi kwani waliotuletea hizo dini walijuwa kuwa ndiyo njia pekee ya kututawala na kutuibia mali zetu.
 
Tumeletewa dini za kizushi na kupumbazwa akili makusudi kwani waliotuletea hizo dini walijuwa kuwa ndiyo njia pekee ya kututawala na kutuibia mali zetu.
Dini ni kwa ajili ya Dunia mzima na sio kwa ajili ya waafrika pekee.
Mbona wao wanahizi dini na ukuti upumbavu huu.
 
Dini ni kwa ajili ya Dunia mzima na sio kwa ajili ya waafrika pekee.
Mbona wao wanahizi dini na ukuti upumbavu huu.
Wao wana hizo dini ila hawajali kama się Waafrika. Kila dhehebu lina imani na mila zake hizi dini za kizushi si zetu na ndizo zilizotuharibu akili.
 
Back
Top Bottom