afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    Sadio Mane, picha la kutisha kutoka hotelini baada ya kubeba AFCON

    Sadio Mane akiwa hotelini baada ya fainali ya AFCON.
  2. John Haramba

    Rais Senegal aagiza leo mapumziko ya taifa kusherekea ubingwa wa AFCON

    Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2. Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
  3. John Haramba

    Senegal wafalme wa Afrika, watwaa AFCON mbele ya Misri

    #TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde, Cameroon. Timu hizo zilimaliza dakika 120 za mchezo huo kwa suluhu ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo...
  4. N

    CAF wanaipendelea Simba SC; Barbara aalikwa fainali za AFCON

    Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa mechi za awali Sasa basiii...Caf has done it again wamemualika adui wa matapeli ya soka la bongo...
  5. Erythrocyte

    AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

    Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco. Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao...
  6. Papa Mopao

    Katika AFCON ya mwaka huu ni timu ipi ina mpira mzuri mno wa kuvutia na mnene?

    Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi karibu zote za AFCON ya mwaka huu tu 2022, ni timu ipi kwa upande wako inayocheza mzuri, mnene, wa kuvutia kiasi kwamba hutoki kwenye siti Kama hujabahatika kuangalia mpira, basi usome tu jinsi michango ya waliobahatika kuangalia mechi mbalimbali za...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  8. The Boss

    AFCON: Kilichoitoa timu ya Ghana, Afrika tuna safari ndefu

    Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi.... Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
  9. I

    Tukuze vipaji, turuhusu Uraia pacha

    Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi. Ni...
  10. K

    Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

    Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu linaloonyweshwa na timu zetu (achana na ngozi nyeupe i.e waarabu) tena wachezaji zaidi ya 90% wanacheza...
  11. Kurunzi

    Twende na Taifa Stars Ivory Coast AFCON 2023

    Natamani ifanyike kampeni kubwa ya kuhamasisha timu yetu ya taifa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yatakayofanyika Ivory Coast 2023. TFF na Serekali huu ndiyo wakati wa kuunganisha nguvu kuwashirikisha wadau na wanachi kwa ujumla kwenye kampeni hiyo. Updates TIMU ya Taifa Tanzania 'Taifa...
  12. GENTAMYCINE

    Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  13. Kasomi

    Salima Mukansanga Refa wa kwanza mwanamke katika mashindano ya Afcon

    Picha: Salima Mukansanga Salima Mukansanga ameweka historia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu nchini Cameroon, kwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kwenye mashindano ya wanaume. Mnyarwanda huyo mwenye umri wa miaka 33 alisimamia mchuano wa Afcon siku ya Jumatatu...
  14. Erythrocyte

    Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

    Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano...
  15. U

    Afcon 2022 mbovu sijapata ona

    Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana. Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani...
  16. Da Gladiator

    AFCON 2021| Fixtures, venues, full schedule and kick-off times. Tournament - CAMERON

    Bonjour wakuu, Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022. Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana na gonjwa la UVIKO-19 Ila sio wale waliopo bungeni 😂 unaosababishwa na virusi vya Corona. Hivyo CAF...
  17. Greatest Of All Time

    2021 AFCON Special Thread

    Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu. Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana. Mwenyeji wa...
  18. Greatest Of All Time

    Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

    Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?
  19. Greatest Of All Time

    Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani! Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
  20. Kasomi

    Mtanzania kuchezesha AFCON

    Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Back
Top Bottom