afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  2. TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa. === Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
  3. TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

    Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati huo alikuwa hana hili wala lile huku askari waasi wakishinikiza kuwa kwa vile tumepata uhuru, lazima...
  4. TANZIA Connie Chiume: South African TV star dies aged 72

    Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several South African TV shows including Rhythm City, Zone 14 and most recently, Gomora. Chiume was a trained...
  5. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  6. TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
  7. TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
  8. RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
  9. Mmoja afariki kwenye msafara wa Rais Ghana

    ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
  10. K

    Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  11. Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  12. TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

    Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa...
  13. M

    Mwanafunzi afariki akijaribu kuogelea

    #HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban, amesema kijana...
  14. TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

    Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea...
  15. TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  16. TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

    Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
  17. TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  18. TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

    Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35) pamoja na rafiki wa kiume wa mkewe, Ron Goldman(26) mwaka 1995. Katika utetezi wake, upande wa...
  19. Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
  20. TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…