afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  2. R

    Muhubiri maarufu wa miujiza ya watoto Gilbert Deya afariki dunia kwenye ajali ya gari Kisumu

    Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Deya alifariki papo hapo baada ya gari lake kugongana na basi la chuo kikuu pamoja na gari jingine...
  3. DuaZaMama

    Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

    Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
  4. Just Pray

    TANZIA Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin Kasembe afariki dunia ghafla katika nyumba yake

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini. Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi...
  5. M

    Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
  6. M

    TANZIA Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu afariki dunia akipatiwa matibabu Afrika Kusini

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, amefariki dunia leo, Alhamisi tarehe 5 Juni 2025, akiwa na umri wa miaka 68. Taarifa rasmi kutoka kwa chama chake cha Patriotic Front imethibitisha kuwa Lungu alifariki dunia akiwa katika matibabu maalum katika Hospitali ya Mediclinic Medforum mjini...
  7. Ex Spy

    TANZIA Mzee Mustafa Songambele (mwanasiasa mkongwe) afariki dunia

    Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele...
  8. Waufukweni

    TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  9. M

    Mwenyekiti wa zamani wa CCM Maswa afariki dunia.

    MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI. Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
  10. Mtanzania1

    TANZIA Kanali mstaafu Ayoub Mwinyimvua Simba afariki Dunia na kuzikwa Dar

    Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa...
  11. mama D

    TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Lala salama mtumishi wa Mungu aliye hai. Nilichojifunza kwako ni kwamba Mungu wetu hawekewi mipaka, yeye humpa karama amtakaye kwa sifa na utukufu wake. Felician V. M. Nkwera Felician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni...
  12. Ngongo

    TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

    Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8 ========================= Aliekaa kwenye kiti...
  13. R

    Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  14. Just Pray

    TANZIA Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Siha afariki dunia

    Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...
  15. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Habari wanajamvi. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv. Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu. Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana. Binafsi niliwahi...
  16. Waufukweni

    TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
  17. Just Pray

    TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  18. mdukuzi

    TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

    Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...
  19. Damaso

    Muigizaji Richard Norton afariki dunia

    Richard Norton, mwigizaji, staa katika filamu ya Mad Max, amefariki akiwa na umri wa miaka 75, mkewe Judy Green ametoa taarifa kwenye Instagram. "Nimevunjika moyo, sina maneno nimepoteza kila kitu changu," aliandika kwenye maelezo, pamoja na picha. "Najua kuna, na kutakuwa na upendo na mshtuko...
  20. Roving Journalist

    Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
Back
Top Bottom