afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ex Spy

    TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

    Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten. Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za...
  2. DuaZaMama

    TANZIA Tagawa 'Mortal Kombat' afariki dunia

    Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani. Tagawa amefariki mbele ya familia yake baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa kiharusi 'Stroke' na taarifa hizo zimedhibitishwa na meneja wake Margie...
  3. Intelligent businessman

    TANZIA Muigizaji Dharmendra wa India, afariki Dunia

    Muigizaji mkongwe wa Bollywood Dharmendra Kewal Krishan almaarufu ‘He-Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 leo Novemba 24, 2025. Dharmendra ambaye mmoja wa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya sinema ya India ameshiriki filamu nyingi za kihistoria kama Sholay (1975), Phool Aur...
  4. Twilumba

    TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  5. DuaZaMama

    Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Chanzo: Azam Tv
  6. Stuxnet

    TANZIA Dkt. Jane Goodall, rafiki na mtafiti wa sokwe hifadhi ya Gombe afariki dunia

    Dr Jane Goodall, mtaalamu mashuhuri wa masuala ya sokwe na mwanaharakati wa uhifadhi, amefariki dunia, kwa mujibu wa taasisi yake ya uhifadhi. Alikuwa na umri wa miaka 91. "Taasisi ya Jane Goodall imepata taarifa asubuhi ya leo, Jumatano, Oktoba 1, 2025, kwamba Dkt. Jane Goodall DBE, Mjumbe wa...
  7. Heparin

    TANZIA Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia

    Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja...
  8. Traxtion

    TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    Charlie Kirk, aliyejulikana kama mwanachama mkuu wa mrengo wa kulia na mwanzilishi mwenza wa Turning Point USA, aliuawa kwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, katika tukio linalochukuliwa kama moja ya dalili za ongezeko la vurugu za kisiasa nchini Marekani. Tukio hilo linapelekwa kwa uchunguzi wa...
  9. X

    Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  10. PAYE

    TANZIA Mwimbaji wa Nyimbo za Injili wa Rwanda, 'Gogo' afariki dunia akiwa na miaka 36

    Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda. Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada ya kuugua kwa muda mfupi alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini Kampala. Ingawa sababu kamili ya...
  11. Inside10

    TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia...
  12. Doji MD

    TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
  13. R

    TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  14. Tanzaniavate

    Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia

    Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia “Uongozi ni wito wa kutumikia watu — si nafasi ya kujitukuza.” Maisha ya Job Ndugai kwa Ufupi Jina kamili: Job Yustino Ndugai Tarehe ya kuzaliwa: Januari 22, 1960 Eneo alilotumikia: Mbunge wa Jimbo la...
  15. JanguKamaJangu

    TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
  16. Ex Spy

    TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  17. Waufukweni

    Mtoto wa darasa la Pili, Karim Rahim (8), afariki Dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia Kamba ya Pazia

    Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr maarufu kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha (Kwa mama Nairo) jambo ambalo pia linaleta wasiwasi kwa...
  18. Intelligent businessman

    TANZIA Mke wa msanii Mrisho Mpoto afariki dunia

    . Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini...
  19. Dalton elijah

    TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  20. L

    TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
Back
Top Bottom